Jamani hadi watoto wa kike huwa tunapigwa BAN?

Jamani hadi watoto wa kike huwa tunapigwa BAN?

naomba kusaidiwa naona watu wanaandika humu jf wengine 24/7 wengine 0713 ; hizi namba zina maana gani ?
 
Aisee jamani mod hizo ban zenu muwe mnaangalia
Sio mnapiga ban tu bila sababu za msingi

Alafu sio kwa uzuri huu View attachment 433659

[emoji108] [emoji108] [emoji108] [emoji108]
Ndio nimerudi hivyoo
Richaabra ndio miee
Kumbe ndio ulivyo hivi, my image was different to this
 
hiyo picha yako ingekuwa umeiweka Avatar asee ban lisingekuhusu kabisa
 
Back
Top Bottom