JAMANI HALMASHAURI YA MUHEZA IMEIBIA WATUMISHI

dustless

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2016
Posts
796
Reaction score
712
Habari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..
 
Duuu hili lalamiko la watu kukatwa mishahara yao bila taarifa lishadumu sasa je sio bodi ya mkopo
 
Pole sn,mimi ndo usiseme maana nimeshachoka kudanganya wanaonidai hadi wamenishtukia na sasa narudi home usiku tena kwa vinjia vya uchochoro hadi nafika ingawa nako ni shida maana maza hausi ananidai tangu mwezi jana
 
Napoaje me wakati sina hela nadaiwa kodi ya nyumba, mke wangu mjamzito ..naomba niishie hapo nahisi kizunguzungu me nahisi ntafeint leo...
 
Pole mkuu.

Nakulaumu kwa kuwa na wema wa mshumaa,yaani unafanya kazi kwa bidii kwa kutegemea kulipwa siku ukifa na kuzikwa.

Tumia muda mwingi kwa kufanya mambo yako,hakuna mwenye nia njema nawewe hapa Tanzania.

Shuleni na darasani nenda kama ushahidi lakini wape matangopori.
 
[quote uid=394462 name="dustless" post=18168457]Habari wana jf.<br />Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..<br />Nawasisha..[/QUOTE]

Pole mkuu.

Nakulaumu kwa kuwa na wema wa mshumaa,yaani unafanya kazi kwa bidii kwa kutegemea kulipwa siku ukifa na kuzikwa.

Tumia muda mwingi kwa kufanya mambo yako,hakuna mwenye nia njema nawewe hapa Tanzania.

Shuleni na darasani nenda kama ushahidi lakini wape matangopori.
 
Fuatilieni msiogope huu ni wizi. Lazima mjue sababu za kukatwa pesa zenu na kama hamzikubali mgangamare wawarudishie pesa zenu. Msikubali kunyanyaswa.

Napoaje me wakati sina hela nadaiwa kodi ya nyumba, mke wangu mjamzito ..naomba niishie hapo nahisi kizunguzungu me nahisi ntafeint leo...
Nakulaumu kwa kuwa na wema wa mshumaa,yaani unafanya kazi kwa bidii kwa kutegemea kulipwa siku ukifa na kuzikwa.

Tumia muda mwingi kwa kufanya mambo yako,hakuna mwenye nia njema nawewe hapa Tanzania.

Shuleni na darasani nenda kama ushahidi lakini wape matangopori.
 
Kweli wema usizidi uwezo, kwa tatzo hili nmejifunza kitu...
 
Kweli wema usizidi uwezo, kwa tatzo hili nmejifunza kitu...
Achana na hao wanafunzi utakufa masikini watoto wako watakulaumu sana.

Kwanza kuwa mwalimu tu ni kama mchawi,hata kama una Bachelor degree first class ya UDSM.
 
Soma namba wewe acha kelele , hapo kila mtu ataisoma labda tuu waliopumzika kama Dimoso mateso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…