dustless
JF-Expert Member
- Oct 21, 2016
- 796
- 712
Habari wana jf.
Leo mishahara yetu isiyokuwa na ongezeko lolote tangu mwezi July imetoka. Cha ajabu Mwezi huu tumekatwa zaidi ya elfu 57 kila mmoja. Jamani tunakwenda wapiii. Hii imetokea tena kwa kada ile ile kadamizwa, yaani waalimu kama ilivyo ada kada hii ndo shamba la kujifunzia kila aina ya manyanyaso ya kila aina. Sijui kada hii tumelogwa au vipi. Sasa naomba mje mnidhamini maana moto nilionao naamini ntafungwa siku ya jumatatu coz leo si Siku ya kazi.. Natamani niende saiz nikalale halmashauri mpaka jumatatu.. Nafundisha hisabati niko peke yangu shule nzima kwa mshahara mdogo halafu bado naibiwa licha ya kuwa nalipa deni langu la bodi ya mikopo..
Nawasisha..