huo ni unafiki mkubwa sana, kwa sababu mimi natibiwa hospital za kata na dawa zipo, ila kinachofanywa ni dawa zikiletwa leo hao madaktari wenu wanachukua na kupeleka kwenye maduka yao na kuwauzia tena wananchi. hapo mwenye kudai haki ni nani, mwizi wa dawa au anayepeleka dawwa zikaibiwa na mwizi? Tatiza watu wenye mitizamo ya kichaga, kwa sababu wamezoea kuiba basi wanahisi kila mtu ni mwizi. nenda kilimanjaro uone watu walivyojimilikisha ardhi na jinsi walivyoiba mali za wananchi na kujilimbikizia mali, na hao ndg zenu manaowapigia debe kwa kuzusha ili kuchafua nchi ndo wezi namba moja, na hata mkifanikiwa kuchafua nchi kwa uchu wa kushika nchi kwani ninyi mtaenda kuishi mbinguni? kila siku kukitokea migomo ninyi wa kwanza kushabikia huo upuuzi, watu wanakuja na madai ya 100% ya nyongeza ya mishahara na ninyi mambumbu mnasema sawa tu wagome, wakati hela ya kuendesha nchi inatoka kwa hao wananchi masikini ambao ni walipa kodi, sasa wakiongezewa kodi ili walimu na madaktari waongezewe mishahara 100% vp kuhusu sekta zingine nazo zidai 100%. huoni kwamba utawatoza kodi kubwa wananchi maskini ili kulipana mishahara wakati wao bado hali haitabadilika. Mimi sijui hizi taaluma sijui mumesomea wapi hadi mkapewa mamlaka ktk sekta nyeti kama haki za binadam, TGNP na TAMWA, au kule kupendeleana kiukoo? na nchi mnataka muipeleke kiukoo? Pole sana, lkn nia zenu mbaya mungu atazirudisha kwenu kwa adhabu kali iumizayo.