Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

Yaani wewe kilichokushangaza ninii,kutoa copy au umri au alivyowahi kuliko wewe?

Umenielewa kweli wewe!!!
Hebu rudi hapo juu, usome uelewe kwanza.
 

Ni kweli Nemo, ndio maana, nataka niangalie upepo unakwenda vipi, ndo hata nikapigie haka kabinti,
Manake kanaweza kuwa kanajua kuliko hata mimi, kakanichambua kama karanga lol!!
 

At least you didn't pass the buck....
 
Pole sana, lakini usi generalise tabia ya bosi wako kwa kila mtu! lakini pia wewe kwanini uache funguo kwa Bosi ilhali unaofisi tofauti, na kwa nini unaingia bila kukaribishwa...au wewe ni G********D wa bosi-kama sivo uoni unatabia mbaya..unatafuta nini kwake? unadai binti akakukimbilia..ilichukua muda gani? usimwonee kabinti wivu..najua amekatiza "ukanda wako wa Gaza"..inauma eeeeeeeeeeeeeeeeeeh:juggle:

 
LD ukiangalia upande mwingine wa shilingi hawa watoto wetu siku hizi wamecharuka
wanatamaa, wanapenda vitu vya juu kuliko uwezo,ndo mana nao wanakubali
sasa kwa kuwa vibabu vinaona hao watoto wako weak ndo hapohapo wanapata mwanya wa kuwarubuni
wakipewa simu, vihela kidogo mtoto kaingia line
mi naona pande zote mbili zina makosa

kuna kisa nilikishuhudia mimi machozi yalitoka
mtoto wa darasa la 6 alikuwa anaishi kwenye kituo cha yatima kumbe ni muathirika
jibaba na tamaa zake akamtongoza na mtoto kwa tamaa ya pesa akamkubali
sasa pata picha yule baba akidhani mtoto mbichi si ameukwaa tayari na kamuambukiza mkewe na huwezi jua kama ana mwanamke mwingine zaidi ya huyo mtoto.JE TUTAFIKA??wababu jamani wababu haa!
 
KUWA MAKINI USIJE UKATEMESHWA MZIGO!!
Kwa makadirio huyo babu ana kama mvua ngapi, maana isije kuwa ana 26 ...hiyo ni age ambayo hata kama ameoa, hashikiki!
 

Najaribu kuvuta hisia nani kaanzisha move......hofu yangu ni binti kuwa ndio muasisi na babu kucheza ngoma ya binti maana mabinti wa siku hizi duh, wakina fataki sometimes tunawaonea......
maana kuna binti aliwahi kumuambia mzee wa watu "we huniambii kitu maana nimebeba wenye mashine zaidi yako?" sasa hapo tena!!
 

Bosi wako akitembelea humu umekwisha!!!!
 

Ndg yangu ukishangaa ya Musa..... Huyo ndo boc unaemheshimu, akimwona binti yako wewe mfanyakazi wake anampiia mahesabu. Kama ofc ni yake binafsi chunga kibarua chako, ila kama wote mmeajiriwa na JMT, kula nae sahan moja. Imenikera sana, watoto wetu wa kike wanateseka sana. Huyo Babu ni Mbwa tena ni Takataka, anadhubutu kumtaka binti wa 16yrs. Hebu nipe ufafanuzi kidogo, umesema ulikua anafanya nini wakati unafungua mlango? Weka wazi nikuelewe sawasawa mtu wangu.
 
Watu wameshajenga dhana ya kwamba wanaume tu ndo wa kulaumiwa kwenye mambo haya wakati hivyo visichana na vyenyewe vinafanya kwa hiari yao!!

Ingekuwa msichana kabakwa kwa kutumia maguvu hapo lawama zingemwendea "babu" peke yake. Lakini wote wawili wana screw kwa hiari halafu anayetupiwa lawama ni mmoja tu ni retarded!!!!!
 
Huyo ni mbakaji si ungemuitia TAMWA tu au unaogopa kibarua?

Wala kibarua siogopi, manake tunaishi kwa Neema ujue!!!
Ila haraka haraka hivyo isingewezekana, inawezekana hata huyo binti mwenyewe labda anaona ni sawa.
So inahitaji muda kwanza, wakujua vizuri hapa.
 
Utakuta zee kubwaaa kitambi kule anataka wasichana wadogowadogo hizi zipo sana maofisini
 
Wala kibarua siogopi, manake tunaishi kwa Neema ujue!!!
Ila haraka haraka hivyo isingewezekana, inawezekana hata huyo binti mwenyewe labda anaona ni sawa.
So inahitaji muda kwanza, wakujua vizuri hapa.




LD mama naona ulifika mbali kumdhania binti sivyo,pale babu si alikuwa anakagua tu,au siku hizi wababu wanapitiliza ukaguzi wao?
 

Asante mwaya, kwa mchango wako mzuri.
Ubarikiwe!!!
 

Unajua kwa nini mi nawalaumu wanaume hasa kwa kesi hii,
Uwezo wa kufikiria kwa mtu mzima kama huyu, ni mkubwa kuliko, huyo mtoto wa miaka 16.
Ilibidi haka katoto kamheshimu na kumuogopa, kama babu yake, lakini ona sasa,
anaona kitu ambacho hakupaswa kukiona kwa babu yake.
 
Inakera ila ndio hivo tena wazee wamechachawa sana eti wanataka damu mbichi utakuta ni rafiki ya mtoto wake huyo. embu babu yetu wa humu atuambie wanakumbwaga na nini
 
LD mama naona ulifika mbali kumdhania binti sivyo,pale babu si alikuwa anakagua tu,au siku hizi wababu wanapitiliza ukaguzi wao?

Mmmmh alikuwa anakagua kweli?
Dah!!! Unajua ni bora nisingeona kuliko nilivyoona, manake naona,
aibu imenirudia mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…