LD
JF-Expert Member
- Aug 19, 2010
- 3,014
- 578
- Thread starter
- #41
LD ukiangalia upande mwingine wa shilingi hawa watoto wetu siku hizi wamecharuka
wanatamaa, wanapenda vitu vya juu kuliko uwezo,ndo mana nao wanakubali
sasa kwa kuwa vibabu vinaona hao watoto wako weak ndo hapohapo wanapata mwanya wa kuwarubuni
wakipewa simu, vihela kidogo mtoto kaingia line
mi naona pande zote mbili zina makosa
kuna kisa nilikishuhudia mimi machozi yalitoka
mtoto wa darasa la 6 alikuwa anaishi kwenye kituo cha yatima kumbe ni muathirika
jibaba na tamaa zake akamtongoza na mtoto kwa tamaa ya pesa akamkubali
sasa pata picha yule baba akidhani mtoto mbichi si ameukwaa tayari na kamuambukiza mkewe na huwezi jua kama ana mwanamke mwingine zaidi ya huyo mtoto.JE TUTAFIKA??wababu jamani wababu haa!
Yani ndo maana hata mimi nawalaumu wanaume, kwa kuilingalisha akili ya huyu baba na haka katoto,
Kwamba hawa ambao, wangetuongoza ktk mema ndio wanaotuharibu.
Ila hako katoto wala sijataka kuongea nako sana, nipate kwanza nafasi ya kumchunguza nijue maisha yake,
Na labda naweza kupata sababu za kwa nini afikie maamuzi kama hayo.
Na nitafanya juhudi nijue kabisaaa!!!!