Kwa kweli kaka, kababu ka huku sijaongea na wala hajathubutu kukutana na uso wangu.
Naona atanitafutia kosa hilo ndo litafungua mlango wa kuongea na mimi.
Hata hivyo najiona bora nisingemuona manake, dah!!!
Haka kabinti bwana, sijakauliza sana, manake kalikuwa kamepaniki vibaya, nikakaacha tu kakaondoka.
Ila nimechukua namba yake ya simu, niangalie upepo unakwenda je kwanza halafu nitamtaufuta niongee naye.
Hivi hako kabinti kalikuwa kamewekewa bastola kichwani au kalikuwa kamefungwa kamba mikononi na miguuni?
Pamoja na mambo hayo yote lakini,
Sio CRAP kiasi hiki!!!!
Ni kweli Mbu, lakini sasa dah!!
Nahisi nahitaji, kujua vizuri pia kuhusu huyu binti.
Unajua kuna mabinti wengine pamoja na huo udogo,
Wanajua mambo kuliko hata.................
Nikishajua walau wasifu kidogo tu wa huyu binti ndo aweza kufikiria kitu kingine zaidi.......
Watoto wa siku hizi hawana adabu kabisa. Haijalishi wa kike au wa kiume!
Tamaa huwafanya wakose haya kabisa na kutongoza watu wanaotosha kuwazaa! Sijui ni kukosa malezi mema ya wazazi au ni nini.
Case kama hii ya LD usikute katoto ndiko kalilianzisha ma mzee huyo...ukute ni rafiki wa familia maana huu ndio mtindo siku hizi!
Samahani kwa sababu sikuweza kufanya hivyo kwa wakati huo. Lakini pia skufikiria kama kuwaambia polisi ni hatua ya kuchukua kwa haraka haraka namna hiyo.
Ila ninampango wakuongea na huyo binti baadae kidogo ili nijue mawili matatu kuhusu yeye!! Nikifanikiwa kufanya hivo nitakuja kuwaambia.
Inaniuma ni kweli manake fikiria baba kama hayo kapita wapi na wapi halafu leo aje kumkaba mtoto kama huyu. Ni aje kuhusu virusi. Mi nina mdogo angu ana umri kama huo huo.
Walikuwa wana-do? story haieleweki!
Sasa wewe umeongea na bosi wako? Kwa nini usianze na yeye kama unaona ana kosa badala ya kuja na maswali kwa wanaume huku jf.
Naona approach yake imekaa kuwanyanyasa wanaume badala ya kuelekeza malalamiko yako kwa huyo uliye na shida naye...
Watoto wa sasa hawaogopi kitu.yaani anakuletea ukimbie mwenyewe
Bado haiingiii akilini mtoto wa fom foo kuwa 16 na pia kuwa comfortable vile... Iko namna na kuna watu umalaya ni damuni full 100%
Babu kachemsh, lakini nachelea kuamini haya ya 16yrs
BTW, LD dada, uache kuweka funguo kwa bosi na uwe unapiga hodi ndio uafrika huo (huwa tunapiga hodi)