Jamani hebu sikieni nilichokiona leo - Bosi na Binti wa 16yo

Watoto wa sasa hawaogopi kitu.yaani anakuletea ukimbie mwenyewe

...dah, umri umekwenda sana, ndio maana tunakimbilia kuhukumu
Niki recall nilipokuwa na 16yrs old miaka hiyooo
shule ya Bweni, tena mikoani....

Tabia walizokuwa nazo wanafunzi, hakuna cha usasa wa zamani.
Hata mabinti wa shule niliyosoma walikuwa wanajirusha na walimu na 'madingi.'
Uzuri wa miaka ile ya "Siasa za ujamaa na kujitegemea,"watu walikuwa bado na woga
wa kusemewa kwa wazazi wao...

Pia, Kizazi kile wanafunzi walikuwa wanaogopa Mimba na kufukuzwa shule,
Tofauti na miaka hii ya Dot.com.

What do you recall, ulipokuwa na umri wa miaka 16?



 

You are right. I am talking from experience. Nina binamu yangu mmoja akiwa kidato cha tatu nilikuwa nimeshamsema sana kuhusu tabia yake ya kupenda ngono na watu wakubwa. Lakini nilikuwa kama natwanga maji kwenye kinu. Watoto wa siku ni ''wakubwa'' kuliko umri wao!!
 
wakati nipo sekondari boarding, mkuu wa shule (Headmaster) alikuwa na binti yake anasoma form two,naye alikuwa hivyo hivyo hashikiki kwa kutoka na madingi baadhi yao walimu wa hapo hapo shule. Mwalimu wa nidhamu alipomwita kumwonya tena mbele ya matron kakamwambia discipline master wivu tu ndio unamsumbua na kamwambia kama naye anataka "katampa". Ikabidi Discipline master awe mpole hadi Headmaster alipoamua kukahamishia shule nyingine kwa kuogopa aibu.
 
Hii itakuwa without manake, paniki yake ilikuwa mbaya sana, na imemchukua muda kutoka baada ya mimi, kuondoka zangu na kujibanza nje ya ofisi yangu. Dah nimejutia kuwahi kwangu leo!!!

LD nna wasi wasi haka kababu kalishakuotea nawewe pia au?:tongue:
 

mpaka mtu achukue kiatu inamaanisha kinamtosha so sioni tatizo kwani wembamba wa reli treni inapita.
 
kawaida sana hiyo mkuu! wewe kitu gani kimekushangaza hapo?
 
Waambie hao waambie na hii nairusha hewani.... SHIMO BAYA NI LA NYOKA TU YALIYOBAKI YOTE MAZURIJaribu shimo la siafu halafu uje l The Following User Says Thank You to funzadume For This Useful Post:
St. Paka Mweusi (Today)​
Kajaribie kwenye shimo la siafu halafu urudi hapa ukiendelea na signature yako
 

"Namshukuru Mungu kwa sababu ya wakati nilio nao sasa." - Elodii
 
Inatia huruma sana..sad!

Kuna uwezekano huyo bint yuko innocent kwani babu ametumia mwanya wa umasikini wake kumdhalilisha..Jaribu kwanza kupata background ya huyo bint..inawezekana anapenda sana kusoma ili ajikomboe lakini hana msaada wowote hivyo kukubali yote ya kudahlilishwa na babu..

Mimi hasira zangu zingeishia kwa babu..mtu ovyo sana..inawezekana ame-take advantage ya umasikini wa bint.... Mababu kama haya dawa yao ni kuwa - castrate..waishie kuona tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…