Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Eti Ronaldo hana kipaji ana mazoezi tu. Kafanye na wewe hayo mazoezi tuone kama utafika alipofika.
 
KWANI CHRISTINA ana kipi cha ziada kumzidi King Leo.. ! labda mademu na kuzaa ovyo
Kama Yale magoli yanafungwa kwa kuwa na mademu na kuzaa hovyo kafanye hivyo na wewe.. Mbona Simpo tu.
 
Nani ana haters wengi kuliko mwenzie

Ronaldo: mimi
Messi: Ronaldo

Nani ana tattoo nyingi kama ukuta wa shule ya msingi

Ronaldo: Messi
Messi: Mie

Swali: Messi kwanini maradona anakuchukia?
Messi: hata mimi sielewi chanzo
Ronaldo: nakusaidia chanzo unakaribia kuvunja rekodi zake zote,beba world cup utamnyamazisha jamaa

All in all wote wawili ni washindi kwa fans zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…