Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Jamani hebu tuwe wakweli, hivi Messi ana kipi cha kumzidi Ronaldo?!

Hyo ni court gani?

Na sijaona Ronaldo ana kipi cha kumzidi messi pia.
 
Yani kufunga goli 2 juzi ndio kawa fundi? Usirudie tena kumfananisha L10 na mchezaji yoyote duniani. Acha kutumia nguvu kuficha ukweli maana ukweli hua haufichiki, jua kutofautisha pure talent ya Messi na wachezaji wanao tumia "maguvu" jamii ya Mmorocco.
Tena wakome na wakalale..
 
Msimfananishe mmorocco na messi
IMG-20180128-WA0009.jpeg
 
Messi(Simba/yanga) Ronaldo(njombe mji/ruvu shooting).wapi patamfaa zaidi cr7 majimaji au.
 
Aya watoto wa Messi Andunje! Endeleeni kutoa mapovu!
 

Attachments

  • GBWA-20180404223609.jpeg
    GBWA-20180404223609.jpeg
    67.1 KB · Views: 35
Nakupinga kwenye hilo Mkuu
Pele alishasema hakuna mchezaji kama messi,na pele anajichukulia kama mchezaji bora kuwahi kutokea duniani hivyo basi alisema kama kuna mchezaji mnataka nifananisha nae basi ni MESSI.Ukibisha sema nilete clip
Waambie hao, waliomuuliza wakimtega, walimuuliza kwenye kukosi chake cha wachezaji 11, angependa awe na Messi au hiyo CR, akasema Messi angekuwepo kwenye timu yake, kumbuka Pele hakuwa mtu wa kusubiri mpira kwenye box .
 
Messi is talented, Ronaldo ana mazoezi mengi.
Sasa hiyo Ina tija au hasara gani na kwa Nani? Hivi bila kipaji utacheza soka uwe Bora? Ronaldo ataishia maisha kama ya binadamu yeyote ,anajirusha,anat......ba,nk na bado yuko juu.Bwana mfupi yeye ni only one accupation being.
 
Back
Top Bottom