casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
amemzidi urefuKwana huyo Ronaldo ana kipi cha kumzidi Messi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amemzidi urefuKwana huyo Ronaldo ana kipi cha kumzidi Messi?
Kuna wenzako wanayapenda sana hayo.Utawasikia hapa wako tayari kumpa chochote messiMessi ana midevu hatari, utadhani baba ni kondoo wa sufi
Tena wakome na wakalale..Yani kufunga goli 2 juzi ndio kawa fundi? Usirudie tena kumfananisha L10 na mchezaji yoyote duniani. Acha kutumia nguvu kuficha ukweli maana ukweli hua haufichiki, jua kutofautisha pure talent ya Messi na wachezaji wanao tumia "maguvu" jamii ya Mmorocco.
Ans is NOT A HUMMAN
Akija kukujibu nistue, vijitu havifatilii soka vinajua kufatilia ronaldo tu2014 ulikuwa bado hujazaliwa?
Au wewe ni kuku wa kizungu unakua for two weeks?
Waambie hao, waliomuuliza wakimtega, walimuuliza kwenye kukosi chake cha wachezaji 11, angependa awe na Messi au hiyo CR, akasema Messi angekuwepo kwenye timu yake, kumbuka Pele hakuwa mtu wa kusubiri mpira kwenye box .Nakupinga kwenye hilo Mkuu
Pele alishasema hakuna mchezaji kama messi,na pele anajichukulia kama mchezaji bora kuwahi kutokea duniani hivyo basi alisema kama kuna mchezaji mnataka nifananisha nae basi ni MESSI.Ukibisha sema nilete clip
Sasa hiyo Ina tija au hasara gani na kwa Nani? Hivi bila kipaji utacheza soka uwe Bora? Ronaldo ataishia maisha kama ya binadamu yeyote ,anajirusha,anat......ba,nk na bado yuko juu.Bwana mfupi yeye ni only one accupation being.Messi is talented, Ronaldo ana mazoezi mengi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Messi ana midevu hatari, utadhani baba ni kondoo wa sufi
Tatizo CR akisikia mkali anahamia madrid anatangaza mkwara wa kuhama, anayaka hat trick zote apige yeye, hivi heleni wanavaa watu gani ?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]