Jamani hii mikopo ikoje???

Jamani hii mikopo ikoje???

mito

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2011
Posts
10,682
Reaction score
10,801
Juzi juzi nimeenda CRDB bank kuomba mkopo, ile ya wafanyakazi, baada ya kusikia wameshusha interest rate toka sijui ngapi hadi 17 or 18 (sikumbuki vizuri). Nilipofika nikapokelewa vizuri na nikafanyiwa hesabu ya kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua (at maximum) kulingana na salary slip yangu. Baada ya kujua kiasi cha mkopo nikataka pia kujua breakdown ya makato ya kila mwezi for 4 years. Hapa ndo nilikata tamaa kabisaaa! manake baada ya kufanya hesabu nikajikuta mwisho wa miaka 4 nitakuwa nimerejesha fedha zao plus nusu ya hizo fedha tena! Sasa nikajiuliza kwanini wanatangaza kuwa interest rate ni 17 sijui 18 whatever wakati uhalisia ni 50 au nearly 50%????

Jamani naombeni uzoefu wenu pengine nimejichanganya mwenyewe! manake nahisi kuishiwa nguvu na hii mikopo, loh!
 
wadau hivi mmeamua kunisusia huu uzi!! siamini kama nawezakosa mawazo hapa JF
 
Mkuu nchi hii kila mtu ni mwizi, bora mimi nimejiajiri kinaeleweka.

Kifupi, wanatumia compound interest, kitu ambacho huwezi ambiwa mwanzoni.
Pia interest inapanda kulingana na dola inavyopanda sio inavyoshuka.

Kwenye breakdown watakuonyesha mfano utakua unakatwa laki 2, lakini baadhi ya miezi mingine utakua unakatwa mpaka laki 3.

Wizi kila sehemu.
 
Nashukuru kwa kushare uzoefu wako mkuu!
 
Juzi juzi nimeenda CRDB bank kuomba mkopo, ile ya wafanyakazi, baada ya kusikia wameshusha interest rate toka sijui ngapi hadi 17 or 18 (sikumbuki vizuri). Nilipofika nikapokelewa vizuri na nikafanyiwa hesabu ya kiasi cha mkopo nachoweza kuchukua (at maximum) kulingana na salary slip yangu. Baada ya kujua kiasi cha mkopo nikataka pia kujua breakdown ya makato ya kila mwezi for 4 years. Hapa ndo nilikata tamaa kabisaaa! manake baada ya kufanya hesabu nikajikuta mwisho wa miaka 4 nitakuwa nimerejesha fedha zao plus nusu ya hizo fedha tena! Sasa nikajiuliza kwanini wanatangaza kuwa interest rate ni 17 sijui 18 whatever wakati uhalisia ni 50 au nearly 50%????

Jamani naombeni uzoefu wenu pengine nimejichanganya mwenyewe! manake nahisi kuishiwa nguvu na hii mikopo, loh!

Mdau
Hiyo asilimia 17 au 18 uliyoambiwa ni riba kwa kipindi cha mwaka mmoja (miezi kumi na mbili). Kiasi kamili utakacholipa kama riba ya mkopo wako kitategemea muda wa mkataba wako wa mkopo. Ukikokotoa hiyo riba ya 17% ili ujue riba kwa mwezi ni kiasi gani, utapata 1.42%.

Hiyo riba ya 1.42% ndiyo utakayokuwa unalipa kwa kila mwezi kwa kipindi chote cha mkataba wa mkopo wako. Na hiyo riba hukokotolewa kutoka kwenye sehemu ya mkopo mtaji (principal amount) inayobakia kwa mteja.

Kumbuka
Marejesho yako/Makato (total repayment) yatajumuisha principal amount + interest kwa kila mwezi.
 
Hapo kwa red ndo siri ya bank ilipo.....kwanini sasa wanaficha ficha, si watwambie tu kuwa interest in 50%????
 
Back
Top Bottom