π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sina uzuri wowote ila muuza kuku na ufupi ule hapanaπ₯΄
Jiwe la gizani hilo!!!π€£π€£π€£π€£Nisije nikamwacha hubby sababu ya muuza kukuπ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Anazingua π€
Twaendelea vyema kwa neema 'dada" anguπ€£π€£Mchumba mwaendeleaje mwaya?
πππtena kama ni kafupi ni makwenzi tuπ€£π€£Niache bhana....sitaki matatizo ya kumzaba vibao na ufupi ule
Ufupi unaanzia futi ngapi!!?πππtena kama ni kafupi ni makwenzi tu
Sawaπ€£ππ¬Tuna hiyo ni mboni Kwa jicho
π€£π€£π€£π€£π€Ungejua Muuza Kookoo nae alikuwa anatoa anakumwaga mafuriko na kukaa chaga kama ulivyo Shika kingo ungeacha kuota ukasali salam Maria.
View attachment 2653676
Lini utaacha kisirani!!?π€£π€£π€£Niacheee,we si uligoma kunioa ukasema Nina magamba mwenzio anayasugua
Nimekaribia kurudi tena pa SIKU ile!nita ku call tule kuku!!π€£π€£π€£π€£π€ Niacheee π€