Jamani, hii ndoto imekaaje?

Jamani, hii ndoto imekaaje?

Kuwa makini sana.Utapata ujauzito wa muuza kwio muda si mrefu.Na umeonesha unampenda sana ila atakusumbua kuukubali ujauzito.Si umeona pale darajani alivyoanza kupiga stori badala ya kumalizia kukuokoa?
🤣🤣🤣🤣 Jamani...mie ni mteja tu kama wateja wengine...mniachee🤒
 
jana ulichokula na utulivu wa akili vimeibua ndoto.
 
kwisha habari yako. muuza kuku keshaelewa mzigo. kakuweka kwenye gia namba 1 ombea azipangue taratibu soon utakua unamgongea mlango kila now and then. 😂😂
 
Back
Top Bottom