Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Ndoto ndio njia ya Mungu kuongea na watakatifu wake...Ndoto huwa ni mawazo yanayojirudi kwa kile unachokifikiria.
Wakija watu wa imani hapa, watakutisha. Kwa ushauri wangu, leo kula vizuri nyama choma pamoja na mvinyo kidogo, utalala usingizi mzuri usiokuwa na ndoto za kuhuzunisha.
Acha kuchukulia maisha simple hivyo..hiyo tafrisiri ni wafanya midhaha..Ndoto huwa ni mawazo yanayojirudi kwa kile unachokifikiria.
Wakija watu wa imani hapa, watakutisha. Kwa ushauri wangu, leo kula vizuri nyama choma pamoja na mvinyo kidogo, utalala usingizi mzuri usiokuwa na ndoto za kuhuzunisha.
Ndoto ndio njia ya Mungu kuongea na watakatifu wake...
Ndoto ni njia ya Shetani kuongea na Mawakala wake...
Ndoto pia zipo za mawazo ya mtu
Acha kuchukulia maisha simple hivyo..hiyo tafrisiri ni wafanya midhaha..
Ooh!!Hii ni vita kweli..wachawi sio watuIt means loss of identity. Kwenye ulimwengu wa roho utambulisho wako umefutwa, umegawanywa na umetupwa. Sio ndoto nzuri inakufaa usali sana. Inaweza kuwa utambulisho wako kazini, kwenye ndoa/ mahusiano, nk ni vita hiyo lazima upambane, lakini sio ya mwili ni ya kiroho. Angalia maisha unayopitia sasa, kama kuna kitu umepoteza au unakaribia kupoteza jua ndio hicho. Unatahadharishwa kwamba hilo jambo limeanzia rohoni pambana ku reverse.
Habakuki 2:3
[3]Maana njozi hii bado ni kwa wakati ulioamriwa, inafanya haraka ili kuufikilia mwisho wake, wala haitasema uongo; ijapokawia, ingojee; kwa kuwa haina budi kuja, haitakawia.