Jamani hii ni Brand Gani?

Jamani hii ni Brand Gani?

Blender

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2022
Posts
4,870
Reaction score
8,035
20231110_154533.jpg

Nimeagiza mzigo wa raba online,huko mashariki ya mbali, .

Box ndio limekuja na LOGO ya kushangaza👆,
Japo raba iko Njema na haina hio LOGO 👆 ya ajabu.

Sasa sijui hawa wachina wamefanya makusudi kuprinti hivi ,
Nisaidieni wajuba
 
View attachment 2809761

Nimeagiza mzigo wa raba online,huko mashariki ya mbali, .

Box ndio limekuja na LOGO ya kushangaza👆,
Japo raba iko Njema na haina hio LOGO 👆 ya ajabu.

Sasa sijui hawa wachina wamefanya makusudi kuprinti hivi ,
Nisaidieni wajuba
Mi sio mtaalamu ila kwa nnavyowajua ndugu zetu wakomunisti wale hio itakuwa inatwa "Lupumbu Qiodan"
 
Back
Top Bottom