Kaa la Moto
JF-Expert Member
- Apr 24, 2008
- 7,904
- 1,064
Hii ni bonge la aibu meneja wa hicho kiwanda anatakiwa kujiudhuru :smash::smash::smash:
MR unataka meneja ajidhuru au ajiuzuru?
Hii ni bonge la aibu meneja wa hicho kiwanda anatakiwa kujiudhuru :smash::smash::smash:
Nadhani una ugonjwa wa kichwa. Nibandike kizibo ili iweje wewe juha? wewe ndiye mtoto. Unadhani nina faida gani kuleta uongo hapa. Mimi nina akili timamu na kitu hiki kimetokea. Na ndio sababu nauliza. Kama huna la kusema kaa kimya. Kama wewe ni meneja wa kiwanda hicho ni PM nikwambie soda hiyo ilipo na nikudai fidia mjinga wewe.Hivi ndugu unaona wanajf wote watoto? Au unadhani hatuna mambo ya maana ya kujadili? UMECHUKUA CHUPA YA MIRINDA ORANGE, UKAPACHIKA KIZIBO CHA FANTA, halafu unajiita great thinker, cjui ndyo ubunifu? Pole
MR unataka meneja ajidhuru au ajiuzuru?
Hii ni bonge la aibu meneja wa hicho kiwanda anatakiwa kujiudhuru :smash::smash::smash:
Duh...yupi sasa.....wa coca cola au wa pepsi??
Hii ni bonge la aibu meneja wa hicho kiwanda anatakiwa kujiudhuru :smash::smash::smash:
MR unataka meneja ajidhuru au ajiuzuru?