Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko sahihi kabisa.Hivi ndugu unaona wanajf wote watoto? Au unadhani hatuna mambo ya maana ya kujadili? UMECHUKUA CHUPA YA MIRINDA ORANGE, UKAPACHIKA KIZIBO CHA FANTA, halafu unajiita great thinker, cjui ndyo ubunifu? Pole
Fanta featuring mirindaView attachment 25684
View attachment 25685
View attachment 25686
Jamani hivi hizi biashara zinafanyika vipi? Inakuwaje mtu nanunua soda ya fanta lakini iko ndani ya chupa ya mirinda? Huu ni uzembe wa hali ya juu!
Nani mwenye kosa hapa? Hivi naweza kuwachukulia hatua gani hawa?
Siku nyingine utagundua kuwa watanzania hatuko serious na biashara zetu.
utakuta mende, vifuniko vya soda na takataka kibao katika soda. Ni uzembe mkubwa sana.
Usishangae siku nyingine kukuta unakunywa konyagi mwitu ukidhani wanywa soda, maana huku kwetu wanatumia chupa hizi hizi ku bottle Konyagi!
Inawezekana Ni ya "kiwanda bubu"Mkuu uko sahihi kabisa.
Alichokisema jamaa ni kitu kisichowezekana kabisa.
Bahati nzur mm niliwah kufanya kazi kwenye viwanda vya kinywaji.
Sokoni huwa inatokea wateja wanachanganya chupa(returnable bottles)za kampuni mbili tofauti kwenye kreti moja kwa kujisahau.
Lakini zikishafika kiwandani kwenye mitam bo Kama chupa ni ya kampuni tofauti haipiti lazima itakwama.
Mbali na hvyo pia Kuna sensor maalum ambazo zinasoma maandishi na endapo chupa ikigundulika ina maandishi tofauti inatupwa pembeni.
Na ukija kwenye kesi ya vizibo huwa vinatoka kiwandani direct vikiwa vipya vikiwa kwenye sealed boxes so kwa maana hyo haviwez kuchanganyika vya kampuni mbili tofaut.
Kwa hyo it is imposible.
Majitu ni miongoni mwako ujuenaimani wewe unayeuliza swali ni mwanafunzi
unafikiri jf wote wanafunzi,halafu inakuwaje majitu yanacomment post za 2011