Jamani hii ni soda gani? Fanta au Mirinda?

aisee hiyo ni fanta yenye jinsia mbili. yaani fanta choko
 
Hivi ndugu unaona wanajf wote watoto? Au unadhani hatuna mambo ya maana ya kujadili? UMECHUKUA CHUPA YA MIRINDA ORANGE, UKAPACHIKA KIZIBO CHA FANTA, halafu unajiita great thinker, cjui ndyo ubunifu? Pole
Mkuu uko sahihi kabisa.
Alichokisema jamaa ni kitu kisichowezekana kabisa.
Bahati nzur mm niliwah kufanya kazi kwenye viwanda vya kinywaji.
Sokoni huwa inatokea wateja wanachanganya chupa(returnable bottles)za kampuni mbili tofauti kwenye kreti moja kwa kujisahau.
Lakini zikishafika kiwandani kwenye mitam bo Kama chupa ni ya kampuni tofauti haipiti lazima itakwama.
Mbali na hvyo pia Kuna sensor maalum ambazo zinasoma maandishi na endapo chupa ikigundulika ina maandishi tofauti inatupwa pembeni.
Na ukija kwenye kesi ya vizibo huwa vinatoka kiwandani direct vikiwa vipya vikiwa kwenye sealed boxes so kwa maana hyo haviwez kuchanganyika vya kampuni mbili tofaut.
Kwa hyo it is imposible.
 
Fanta featuring mirinda
 
Inawezekana Ni ya "kiwanda bubu"
 
naimani wewe unayeuliza swali ni mwanafunzi
unafikiri jf wote wanafunzi,halafu inakuwaje majitu yanacomment post za 2011
 
Hizi ni two different companies, scenario hii haiingii akilini kuna kitu, fanta ni brand ya coca cola na mirinda ni brand ya pepsi, sio rahisi iwe imechanganyika kiwandani sababu hazizalishwi kwenye kampuni moja
 
Hii ni soda ya fanta ipo kwenye chupa ya mirinda kivipi??
Hii utokea pale chupa zinaporudishwa kiwandan kwa ajili ya kujazwa tena soda,unakuta kuna crate limechanganywa chupa za mirinda na fanta,,,kwny uzalishaji kuna watu wanaitwa sighters ambao wanakuwa trained kwa ajili ya kuondoa chupa chafu,mbovu,na chupa ngen tofaut na brand husika na hawa wanakuwa katka pande mbili kabla ya bottle washer(mashine ya kuosha chupa) na baada ya bottle washer sasa uwa inatokea esp usiku makosa kama haya chupa inapita toka upande wa empty kwny washer na inatoka kwenda kuwekewa soda bado haijagundulika kama ni foreign bottles had inajazwa soda tunatambuaje kama ni kampun ya coca cola ni hyo crown hapo juu haiwezekan soda ikawa mirinda afu ikawa na kizibo cha coca so anayecap ndo mwny soda ndan,, hii hutokea na ni ngumu sana kuzuia ingawa nchi zilizoendelea wana machine ya kuinspect chupa automatically kidogo inawasaidia ila kwa bongo bado sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…