Akili Unazo!
JF-Expert Member
- Feb 18, 2009
- 3,930
- 4,912
Wandugu naomba nianze kwa kuhadithia kastory kadogo!!
jana katika pitapita yangu kituo cha polisi nilikutana na mkasa huu ambao amam mwenye nyumba alikuwa amekuja kuuwasilisha kituoni.Mkasa wenyewe ni huu.
Kuna baba mmoja makazi yake huko Morogoro alisafiri na kwenda Moshi katika kutafuta maisha.Baada ya muda aliwasili nyumbani akiwa na msichana mdogo ambaye alimleta kwa ajili ya ajira ya kazi za nyumbani;Kwa mjibu wa huyo mama yule dada alikuwa akilala sebuleni hivyo ikanipa picha kuwa huenda nyumba waliokuwa wanaishi ni ya chumba kimoja na sebule.Kwa kipindi chochote hicho ikaja kundulika kuwa baada ya mama kuwa usingizin baba alikuwa anajifanya anaenda kujisaidia kumbe anajianda kujinafasi na hako kahouse maid huku akikapa vitisho kuwa akija mwambia mkewe atamuua.Hivyo kale kasichana kakawa kana kaa kimya tu huku kakiendelea kugawa uroda kama kawaida kwa libaba lile huku kweli mkewe bila kujua.
Baada ya muda kale kasicha kakapata ujauzito hivyo katika kujiokoa ikabidi kajitose kumwambia mke mtu kuwa anaujauzito,baada ya yule jibaba lu mbegu kugundua kuwa habari imeshaharibika ikabidi atembeze kipondo kwa kale kabinti mpaka ujauzito wake kuharibika.
Mama mji alipoona hivyo ikabidi awe kama mzazi kumsaidia yule binti kwa kumpeleka hospitalini na kumfichia aibu mumewe pindi itakaposambaa mitaani na kweli walifanikiwa.
Cha ajabu baada ya yule binti kupata matibabu na kupona siku za majuzimajuzi mama mwenye nyumba akawafuma tena baba akikamega tena kabinti ka watu ndo yule mama alipochukia na kuamua kwenda kuripoti kituoni mkasa mzima.
Swali na mawazo toka kwa wadada na wababa wa humu JF.
Ni kitu gani kinawafanya wanaume kutembea na housemaid kweli ni kuwa na hamu isiyotimizwa na mama mwenye nyumba au ni kwa sababu kuwa na tabia ya kubaka.
Tumsifu yesu kristo