Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!!

Jamani hii tabia au ni hulka kwa Wababa!!!

hata hao mabinti wanatabia mbaya kwanini wewe umeenda kufanya kazi ukajiingiza kwenye shughuli za kula uroda.
 
hata hao mabinti wanatabia mbaya kwanini wewe umeenda kufanya kazi ukajiingiza kwenye shughuli za kula uroda.

Mimi nasema hivi, kwanza kabisa huyu baba ni bazazi wa kutupwa na anatakiwa kulaaniwa kwa udanganyifu wake chronic.

At the risk of "blaming the victim", lazima niseme wanawake wana enable uchafu huu. Kuanzia huyo msichana wa kazi mpaka huyo mama. Kama mtoto wa kazi anaona jibaba linamnyemelea kwa nini asimwambie mama na kumwaga manyanga? Inakuwaje huyu mama asijue muda wote huyu baba anajinafasi mpaka mtoto anapata mimba? Inaonekana huu si mchezo uliotokea mara moja au mbili, inaonekana umeendelea kwa muda mrefu.

Kwa nini huyu mama hakuachana na huyu baba bazazi mara ya kwanza? Wanawake wengi wana wa enable wanaume wa aina hii, kama hawataki unyanyaswaji huu waachane nao.Najua kunaweza kuwa na insecurity, lakini they have to put up or shut up.

Sometimes I entertain the thinking that at least some women like to be victims and inferior, just as commonly as many women like taller men.

Come to think of it, women liking taller men can be a subconscious desire for domination.

It is time women break these stereotypes.
 
Pamoja na makosa ya jibaba kukatokea kasichana ka kazi ndani ya nyumbani, mzigo mkubwa wa lawama unamwangukia mke kwamba ni mzembe.

Moja, ilikuwaje akatoa ajira kwa msichana wa kazi bila kumfanyia vetting? Akina mama wengi huwa wanawaweka wasichana wa kazi kwenye radar ili ajue tabia yake, baada ya kujiridhisha kwamba hana tabia mbaya ndipo mama anaweza kuwa na amani na akamwamini kwamba anafaa kupewa ajira. Hilo halikufanyika, kama lingefanyika angeweza kugundua na wala isingemchukua muda mrefu.

Mbili, mume wake lazima ni fataki la kutupwa na huyo mama alitakiwa kujua hilo kabla ya kuja hako kasichana. Kwa hiyo alitakiwa kuweka alama kubwa ya kuuliza na kuchunguza nyendo za hao 2, lazima angewashitukia tu.

Tatu, huyo mama ilikuwaje asigundue kwamba mumewe ana mtoroka usiku kwenda kufanya mambo ya kiutu uzima sebuleni? Kama mume wake alikuwa anatumia nguvu (kukabaka hako katoto), lazima kulikuwa na purukusha hasa siku za mwanzo, na purukushani hizo zingepelekea kumwamsha mama mwenye nyumba labda kama alikuwa analala fofofo ama anapuliziwa dawa ya usingizi.

Nne, baada ya kipigo mpaka mimba ikatoka, kwanini mke hakuchukua hatua zinazopaswa wakati akiwa na ushahidi wa wazi? Kwanini amesubiri mpaka ushahidi upotee ndipo anapeleka shauri hilo polisi?

Mimi kwa maoni yangu nadhani shauri hilo limepelekwa polisi kama kumkomoa mume wake. Kosa la mume kutembea na housegirl, limetumika kulipa kisasi ama kumkomoa mume kwa kosa/ugomvi uliojificha nyuma ya pazia.
 
Unajua kila kitu ana andaa huyo binti sasa hapo nani aitwe mama mwenye nyumba? Basi kilicho baki baba ni kumega tu maana mama mwenye nyumba anakabidhi madaraka kwa house maid kila kitu bila kujua hata kumegwa nako ana mkabidhi.
Hivi we Fidel na wenzio wenye mawzo mabaya kama haya.... hiyo ni sababu? Nionavyo mimi, mwanaume wa aina hiyo hata umfanyie nini- umpikie, umfulie, umwogeshe, umkandekande, umbebe, umpakate... haridhiki.Ukimpa mgongo tu..umeumia!
Fidel, inakuwaje sasa kwa wale wenye ma hausboi wenye kufanya kazi zote? Huyo baba anamuona huyo HB kuwa ni kama mke?
 
Sasa mwanamme kama huyo kwa nini mwanamke aendelee kukaa naye?
 
Sasa mwanamme kama huyo kwa nini mwanamke aendelee kukaa naye?

Ndugu yANGU..
Hii tabia imeenea sana.Kuna utafiti uliwahi kufanywa kuhusu unyanyasaji wa hausgelz majumbani.... wengi hutembea na hao wababa siyo kwa kupenda bali kutishiwa na kurubuniwa.Ingekuwa siyo uvumilivu wa wanawake, nyumba nyingi zingevunjika kwa ubazazi huu.Huwa nasema hakuna udhalilishaji kama huu.Sipati picha ya uchungu na simanzi apatazo mwanamke kugundua kuwa mumewe anatembea na msichana anayewasaidia hapo nyumbani, msichana anayewaita wenye nyumba baba na mama, msichana anayeitwa na watoto "dada"..msichana anayepewa maagizo na mama na huenda mshahara analipwa na mama, na pia mahitaji yote vikiwemo vipodozi!
HALAFU ATI UTASIKIA WANAUME WAKISEMA MKE WANGU AKIMEGWA TU NAMPA TALAKA! Sijui kama wameshajiuliza ni uchungu ulioje wanaowapa wake zao?
Kuachana watu hawaachani lakini harakati za kusurvive wanaume wenye tabia mbaya wangezijua wangemeza wembe wajiue!
 
Labda tatizo lingine, licha ya ubazazi wa wazi wa kina baba hawa, ni ukweli kwamba wanawake wengi wako too passive and dependent na hawataki kuwaacha wanaumme kama hawa promptly, na hivyo kuwalea kwa udekezaji huu.

Kama huyo mama, kafanyiwa mambo ya ajabu lakini concern yake ya kwanza ilikuwa ni kumfichia siri huyu baba bazazi, kwa nini asingeachana naye?

Lazima tukubali kufanya maamuzi magumu, kuachana na mtu kama huyu si rahisi, especially kama kuna watoto na bond ya miaka mingi, lakini kuendelea kukaa naye ni kukubali kuwa victimized, tena ukukubali kubaki naye ndiyo kabisa anaanza kuchukua mambo for granted zaidi, si ushajua, whats new?

Mimi naona wanawake inabidi wajiamini zaidi na kuachana na wanaume abusive hawa whatever the consequences au wakubali kuwa victims. Mara nyingi huwa tunajivunia low divorce rate katika jamii zetu kulinganisha na the west, lakini inawezekana sana ndoa nyingi ni fraudulent in the sense kwamba ziko horrendously abusive na si ndoa bali ni utumwa, between utumwa huu na a high divorce rate, give me a high divorce rate any day of the year.

Or better yet, give me no marriage in the first place.
 
Many marriages are in ICU if not on deathbeds...many are just for keeping up appearances....Marriages ambazo ziko na umri wa above 10 YEARS mara nyingi kwa sababu mbalimbali.Kama ni ndoa kuvunjika, nyingi huisha within 5 yrs of existance for obvious reasons that there is no much at stake.Hii ni topic nyingine kabisa...tusiharibu mtiririko wa mada hii.
 
Hapo ndipo tatizo linapokuja, unapoangalia swala la divorce rate kama a separate topic unakataa ku explore uwezekano wa kuachana na huyu baba kama moja ya suluhisho la tatizo hili.

Ni wazi kwamba huyu baba ni chronic, kwa sababu angekuwa ni mtu wa kujirudi jinsi sakata lilivyoenda na jinsi mke wake alivyomfanyia staha ya hali ya juu basi angetakiwa mtu wa kumletea zawadi kila siku mke wake kurudisha imani, sasa yeye bado anaendeleza libeneke, sasa mwanamke anayeendelea kukaa naye akiambiwa anayataka hayo atakataa?

Topic kubwa hapa ni uaminifu katika ndoa na uimara wa ndoa, kwa hiyo nikiongelea jinsi ndoa zilivyo fraudulent sijatoka katika maada, bali nimepiga kwenye mzizi wa tatizo.Hapa tatizo si housegirl, kwa maana hata akiondoka jibaba bazazi litaleta mwingine au kuweka nyumba ndogo

Unless we frankly examine the strength and relevancy of the bind of the institution of marriage in its current form, we will just be beating around the bush. Not that bush sorry 🙂, the figurative one, lol.
 
Mkuu, mi najiuliza huyo mama iweje anatorokwa usiku mara nyingi hivo mhata hastuki? kwani wanakula kidude dakika 2 ndo useme ameenda kujisaidia>

Huyo mama ni mzembe wala asilalamike😕
Labda mzee anamchosha mwenye mali kwanza... then anaibukia kwa beki tatu.
 
hapo umenena kula 5

Could be the case, however, sex life za wanandoa ni jambo wanalojua wao tu.

The issue is, jibaba linakujaje na binti wa kazi? Hiyo sector ya mama na wanaiweza sna tu.
Au alimtumq amletee? Kweli huyo mama anaweza kusema mewe qnatoka kitandani usiku na kumega kitu sebuleni bila yy kusikia? Nae hana time na mmewe vilevile
 
Wanasema mwanamke mwerevu hujenga nyumba yake mwenyewe. Na hawa wanaume wa sasa ukisinzia kidogo tu unaweza kuta umefungwa goli tano aiseee.
Kosa la kwanza kabisa angetakiwa kujihoji kuhusu kuletewa house maid na baba na kama angeamua kumpokea angetakiwa asicheze mbali vile unga robo.
Kosa la pili baada ya kujua na kipigo plus kuwa mlezi wa maovu ya mumewe na house maid hakutakiwa hata kidogo kuendelea kumwacha binti pale kwenye paa lao,
La tatu kumshataki polisi sijaelewa vizuri ili nini?
Nafkiri ampe mwanya wa mume kuchagua nani ni nani ili ambaye hausiki achape lapa.
Otherwise asilimia kubwa ya wanaume wa siku hizi ni kuwaombea na kufanya amuzi unaloona litakupa ahueni ya moyo wako bila kupata presha.
 
Hebu tueleze polisi walichukua hatua gani, kwa sababu huu ni ubakaji na uuaji jamani kwa watoto wa watu. Huyu mtoto yuko palle kwa dhiki zake, hayo mengine hayamfai kabisa. Ni kitendo caha kulaaniwa hiki na si kushabikia kwamba anaachiwa kila kitu aandae yeye. Kuachiwa aandae yeye ni moja ya majukumu yake, lakini si na hili la usiku.
 
Back
Top Bottom