Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hata hao mabinti wanatabia mbaya kwanini wewe umeenda kufanya kazi ukajiingiza kwenye shughuli za kula uroda.
Hivi we Fidel na wenzio wenye mawzo mabaya kama haya.... hiyo ni sababu? Nionavyo mimi, mwanaume wa aina hiyo hata umfanyie nini- umpikie, umfulie, umwogeshe, umkandekande, umbebe, umpakate... haridhiki.Ukimpa mgongo tu..umeumia!Unajua kila kitu ana andaa huyo binti sasa hapo nani aitwe mama mwenye nyumba? Basi kilicho baki baba ni kumega tu maana mama mwenye nyumba anakabidhi madaraka kwa house maid kila kitu bila kujua hata kumegwa nako ana mkabidhi.
Hivi we Fidel na wenzio wenye mawzo mabaya kama haya.... hiyo ni sababu? Nionavyo mimi, mwanaume wa aina hiyo hata umfanyie nini- umpikie, umfulie, umwogeshe, umkandekande, umbebe, umpakate... haridhiki.Ukimpa mgongo tu..umeumia!
Fidel, inakuwaje sasa kwa wale wenye ma hausboi wenye kufanya kazi zote? Huyo baba anamuona huyo HB kuwa ni kama mke?
Sasa mwanamme kama huyo kwa nini mwanamke aendelee kukaa naye?
Ndugu yANGU..
Hii tabia imeenea sana.Kuna utafiti uliwahi kufanywa kuhusu unyanyasaji wa hausgelz majumbani.... wengi hutembea na hao wababa siyo kwa kupenda bali kutishiwa na kurubuniwa.Ingekuwa siyo uvumilivu wa wanawake, nyumba nyingi zingevunjika kwa ubazazi huu.Huwa nasema hakuna udhalilishaji kama huu.Sipati picha ya uchungu na simanzi apatazo mwanamke kugundua kuwa mumewe anatembea na msichana anayewasaidia hapo nyumbani, msichana anayewaita wenye nyumba baba na mama, msichana anayeitwa na watoto "dada"..msichana anayepewa maagizo na mama na huenda mshahara analipwa na mama, na pia mahitaji yote vikiwemo vipodozi!
HALAFU ATI UTASIKIA WANAUME WAKISEMA MKE WANGU AKIMEGWA TU NAMPA TALAKA! Sijui kama wameshajiuliza ni uchungu ulioje wanaowapa wake zao?
Kuachana watu hawaachani lakini harakati za kusurvive wanaume wenye tabia mbaya wangezijua wangemeza wembe wajiue!
Mimi naona wanawake inabidi wajiamini zaidi na kuachana na wanaume abusive hawa whatever the consequences au wakubali kuwa victims. Mara nyingi huwa tunajivunia low divorce rate katika jamii zetu kulinganisha na the west, lakini inawezekana sana ndoa nyingi ni fraudulent in the sense kwamba ziko horrendously abusive na si ndoa bali ni utumwa, between utumwa huu na a high divorce rate, give me a high divorce rate any day of the year.
Or better yet, give me no marriage in the first place.
Many marriages are in ICU if not on deathbeds...many are just for keeping up appearances....Marriages ambazo ziko na umri wa above 10 YEARS mara nyingi kwa sababu mbalimbali.Kama ni ndoa kuvunjika, nyingi huisha within 5 yrs of existance for obvious reasons that there is no much at stake.Hii ni topic nyingine kabisa...tusiharibu mtiririko wa mada hii.
Labda mzee anamchosha mwenye mali kwanza... then anaibukia kwa beki tatu.Mkuu, mi najiuliza huyo mama iweje anatorokwa usiku mara nyingi hivo mhata hastuki? kwani wanakula kidude dakika 2 ndo useme ameenda kujisaidia>
Huyo mama ni mzembe wala asilalamike😕
hapo umenena kula 5