Usupa staa huo.
Hivi kana wazazi?
Tatizo lipo,hawezi kuwa na watu wazima kama hao yeye akavaa uchi.Huo si usupastaa ni ushamba tu wa hicho kitoto.Ni kama hakina wazazi,kinajiachia kitakavyo.Under 18?
Huyu binti mrembo ni muigizaji na binafsi nilipata kumsikia alipoigiza kwenye igizo la 'wa hapa hapa', lakini pia ana sauti nyororo na kipaji cha kuimba.Kwani ni nani huyu?
He haka kabinti ndo kamekua hivi, ama kweli hata mbuyu ulianza kama mchicha. Sasa tazama wakati kadogo tulikuwa tunakaita mchumba, jaribu leo ukatwe makofi na Alikiba.
Usupa staa huo.
Hivi kana wazazi?