Emmanuel nemes
JF-Expert Member
- Nov 20, 2016
- 892
- 654
Basi pambana na hali yako.Sina kadi ya chama chochote.
ndugu usiwaongopee watu .. mie hapo PERGAMON unaosema nipo nao hapa .. hizo machine unazo sema wanauza kwa laki 2 c kweli . zile mashine zilkua zinatolewa bure na TRA kupitia wakala wa PERGAMON . ila wafanyakaz wa PERGAMON wakawa wanapiga deal kwa watu wa nje .. ndio wanakuuzia kwa 250k kwa watu wajinga .. ila kwa sasa PERGAMON wamezuia kuzitoa kutokana na bado hawajalipwa hela zao na TRA za kusupply machine za mwanzo .. wakishalipwa wataendelea na mkataba wao wa kutoa machine bureeee ..Kwa kuwa nyie wabishi.nawatajia jina la kampuni tu.
PERGAMON GROUP LIMITED.
Utajua mwenyewe.lakini Mimi nimenunua bei hyondugu usiwaongopee watu .. mie hapo PERGAMON unaosema nipo nao hapa .. hizo machine unazo sema wanauza kwa laki 2 c kweli . zile mashine zilkua zinatolewa bure na TRA kupitia wakala wa PERGAMON . ila wafanyakaz wa PERGAMON wakawa wanapiga deal kwa watu wa nje .. ndio wanakuuzia kwa 250k kwa watu wajinga .. ila kwa sasa PERGAMON wamezuia kuzitoa kutokana na bado hawajalipwa hela zao na TRA za kusupply machine za mwanzo .. wakishalipwa wataendelea na mkataba wao wa kutoa machine bureeee ..
kama umenunua kwa bei hiyo umeliwa mkuu .. ulitakiwa kupewa bure ..Utajua mwenyewe.lakini Mimi nimenunua bei hyo
Hahaaaa Jeyi-efu buana! Mbwa anamla mbwakama umenunua kwa bei hiyo umeliwa mkuu .. ulitakiwa kupewa bure ..
Umemkata nyoka kichwa.kama umenunua kwa bei hiyo umeliwa mkuu .. ulitakiwa kupewa bure ..
SASA WALIVYOKUWA WANAKATAA?na kulazimisha mashine zinaanzia 750.000?.kama umenunua kwa bei hiyo umeliwa mkuu .. ulitakiwa kupewa bure ..
Mkuu nimekufafanulia vyema hutak kuelewa ili ufanye wepesi wa mimi kukushauri. Unaweza kua Ironga lakn Iringa hyo hyo ikawa imegawanyika tena sio wilayan kwa iringa mjn hapo hapo yani kwa ufupi ni kwamba katika kodi Bei ya kupanga inadetermine ukubwa wa Biashara yako mabadiliko ya sheria yalilazimisha makundi mbali mbali kulipa kodi kulingana na kodi wanazolipa lakn pia watoa huduma mbali mbali mf.ukitumia choo za public unatakiwa pewa rist ya EFD.Labda sijaeleweka tu mkuu, nipo iringa, duka la rejareja ni vitu mix, yaani kuna vyakula, vinywaji baridi na kali, viungo vya chakula, sabuni mafuta, na mahitaji yote ya nyumbani madogomadogo. Ila ni mjini kabisa
Unafanya biashara gan? Na unafanyia maeneo gan?Kifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3 imebakia awamu moja ya tar.31 Dec. Kodi nyingine ambazo nimeshalipa mpaka sasa ni :kodi ya chumba cha biashara, leseni ya biashara, TFDA, ushuru wa uzoaji taka kila mwezi, kodi ya nyumba ninayoishi pango la miezi 6.sasa wamefika maofisa wa TRA wiki iliyopita na kusema wanakagua mashine za efd, niliwaambia sina uwezo kuinunua lakini waliniambia kosa kwa mujbu WA sheria. Nilijaribu kujieleza lakini hawakunielewa. Mwisho wakafunga biashara yangu na kunitaka niwe nayo ndani ya siku 7.kwa hakika nimeumia ndo maana nawauliza ndugu zangu hii iko sawa au ni uonevu you! CC:waziri wa fedha Dr Mpango
[emoji122]Mkuu nimekufafanulia vyema hutak kuelewa ili ufanye wepesi wa mimi kukushauri. Unaweza kua Ironga lakn Iringa hyo hyo ikawa imegawanyika tena sio wilayan kwa iringa mjn hapo hapo yani kwa ufupi ni kwamba katika kodi Bei ya kupanga inadetermine ukubwa wa Biashara yako mabadiliko ya sheria yalilazimisha makundi mbali mbali kulipa kodi kulingana na kodi wanazolipa lakn pia watoa huduma mbali mbali mf.ukitumia choo za public unatakiwa pewa rist ya EFD.
Ondoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.
Kifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3 imebakia awamu moja ya tar.31 Dec. Kodi nyingine ambazo nimeshalipa mpaka sasa ni :kodi ya chumba cha biashara, leseni ya biashara, TFDA, ushuru wa uzoaji taka kila mwezi, kodi ya nyumba ninayoishi pango la miezi 6.sasa wamefika maofisa wa TRA wiki iliyopita na kusema wanakagua mashine za efd, niliwaambia sina uwezo kuinunua lakini waliniambia kosa kwa mujbu WA sheria. Nilijaribu kujieleza lakini hawakunielewa. Mwisho wakafunga biashara yangu na kunitaka niwe nayo ndani ya siku 7.kwa hakika nimeumia ndo maana nawauliza ndugu zangu hii iko sawa au ni uonevu you! CC:waziri wa fedha Dr Mpango
Pole mwenzangu, hakika waziri mwenye dhamana asipoingilia kati wengi tutaumia na kupotea kabisa mjiniPole mkuuu ,nilifungiwa week kadhaaa zilizopita tena nikiwa ninamuuguza mama mkoa .Niliwafata nikawaeleza waapi walinigomea week sikuuza nilitoa hiyo pesa huku nalia .Bado nililipa pesa za watu wa yono ambazo ni tsh laki tatu asilimia kumi ya faini niliumia sana nililia kama mtoto mdogo ,hata usingizi sikuupata vyema .Nikaandika barua ya kuomba muda wa kununua hiyo mashine ,walinipa 14 days tuu na zimeisha jana. Hapa wakifunga tena basi na biashara naacha . INAUMIZA SANA.
Hazungumzii smartphone anazungumzia mashine ya efd 250k mbona wangelazimisha kila mtu awe nayo hata kiduka cha mangiOndoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.
Mashine ya laki mbili na nusu wapi ebu toa Mwongozo uwasaidie wengiOndoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.
Wajeuri hao.achana nao.Mashine ya laki mbili na nusu wapi ebu toa Mwongozo uwasaidie wengi
Mauzo ya 1,150,000 Unashindwa kununua mashine mkuu tena usawa huu nakushauri kopa hata kukopa mashine nimhimu sana hata kwako itakusaidia kutunza kumbukumbuKwa mwezi yanafika ml. 1150000/-kiongozi
Hiyo 1,150,000 nimauzo ukija kutoa na expenditure zote nagarama za zingine zote nisawa nahakuna kitu kabisa,Mauzo ya 1,150,000 Unashindwa kununua mashine mkuu tena usawa huu nakushauri kopa hata kukopa mashine nimhimu sana hata kwako itakusaidia kutunza kumbukumbu