Jamani hili la TRA kufunga biashara yangu kwa kutokuwa na mashine ya efd's lipo sawa au ni uonevu uliopitiliza?

Kwa kuwa nyie wabishi.nawatajia jina la kampuni tu.
PERGAMON GROUP LIMITED.
ndugu usiwaongopee watu .. mie hapo PERGAMON unaosema nipo nao hapa .. hizo machine unazo sema wanauza kwa laki 2 c kweli . zile mashine zilkua zinatolewa bure na TRA kupitia wakala wa PERGAMON . ila wafanyakaz wa PERGAMON wakawa wanapiga deal kwa watu wa nje .. ndio wanakuuzia kwa 250k kwa watu wajinga .. ila kwa sasa PERGAMON wamezuia kuzitoa kutokana na bado hawajalipwa hela zao na TRA za kusupply machine za mwanzo .. wakishalipwa wataendelea na mkataba wao wa kutoa machine bureeee ..
 
Utajua mwenyewe.lakini Mimi nimenunua bei hyo
 
Labda sijaeleweka tu mkuu, nipo iringa, duka la rejareja ni vitu mix, yaani kuna vyakula, vinywaji baridi na kali, viungo vya chakula, sabuni mafuta, na mahitaji yote ya nyumbani madogomadogo. Ila ni mjini kabisa
Mkuu nimekufafanulia vyema hutak kuelewa ili ufanye wepesi wa mimi kukushauri. Unaweza kua Ironga lakn Iringa hyo hyo ikawa imegawanyika tena sio wilayan kwa iringa mjn hapo hapo yani kwa ufupi ni kwamba katika kodi Bei ya kupanga inadetermine ukubwa wa Biashara yako mabadiliko ya sheria yalilazimisha makundi mbali mbali kulipa kodi kulingana na kodi wanazolipa lakn pia watoa huduma mbali mbali mf.ukitumia choo za public unatakiwa pewa rist ya EFD.
 
Kifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3 imebakia awamu moja ya tar.31 Dec. Kodi nyingine ambazo nimeshalipa mpaka sasa ni :kodi ya chumba cha biashara, leseni ya biashara, TFDA, ushuru wa uzoaji taka kila mwezi, kodi ya nyumba ninayoishi pango la miezi 6.sasa wamefika maofisa wa TRA wiki iliyopita na kusema wanakagua mashine za efd, niliwaambia sina uwezo kuinunua lakini waliniambia kosa kwa mujbu WA sheria. Nilijaribu kujieleza lakini hawakunielewa. Mwisho wakafunga biashara yangu na kunitaka niwe nayo ndani ya siku 7.kwa hakika nimeumia ndo maana nawauliza ndugu zangu hii iko sawa au ni uonevu you! CC:waziri wa fedha Dr Mpango
Unafanya biashara gan? Na unafanyia maeneo gan?
 
Mkuu nimekufafanulia vyema hutak kuelewa ili ufanye wepesi wa mimi kukushauri. Unaweza kua Ironga lakn Iringa hyo hyo ikawa imegawanyika tena sio wilayan kwa iringa mjn hapo hapo yani kwa ufupi ni kwamba katika kodi Bei ya kupanga inadetermine ukubwa wa Biashara yako mabadiliko ya sheria yalilazimisha makundi mbali mbali kulipa kodi kulingana na kodi wanazolipa lakn pia watoa huduma mbali mbali mf.ukitumia choo za public unatakiwa pewa rist ya EFD.
[emoji122]
 
Ondoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.

Wapi huko hiyo bei mbona tunaambiwa laki 7 mkuu.
 
Kifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3 imebakia awamu moja ya tar.31 Dec. Kodi nyingine ambazo nimeshalipa mpaka sasa ni :kodi ya chumba cha biashara, leseni ya biashara, TFDA, ushuru wa uzoaji taka kila mwezi, kodi ya nyumba ninayoishi pango la miezi 6.sasa wamefika maofisa wa TRA wiki iliyopita na kusema wanakagua mashine za efd, niliwaambia sina uwezo kuinunua lakini waliniambia kosa kwa mujbu WA sheria. Nilijaribu kujieleza lakini hawakunielewa. Mwisho wakafunga biashara yangu na kunitaka niwe nayo ndani ya siku 7.kwa hakika nimeumia ndo maana nawauliza ndugu zangu hii iko sawa au ni uonevu you! CC:waziri wa fedha Dr Mpango

Pole mkuuu ,nilifungiwa week kadhaaa zilizopita tena nikiwa ninamuuguza mama mkoa .Niliwafata nikawaeleza waapi walinigomea week sikuuza nilitoa hiyo pesa huku nalia .Bado nililipa pesa za watu wa yono ambazo ni tsh laki tatu asilimia kumi ya faini niliumia sana nililia kama mtoto mdogo ,hata usingizi sikuupata vyema .Nikaandika barua ya kuomba muda wa kununua hiyo mashine ,walinipa 14 days tuu na zimeisha jana. Hapa wakifunga tena basi na biashara naacha . INAUMIZA SANA.
 
Pole mwenzangu, hakika waziri mwenye dhamana asipoingilia kati wengi tutaumia na kupotea kabisa mjini
 
Ondoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.
Hazungumzii smartphone anazungumzia mashine ya efd 250k mbona wangelazimisha kila mtu awe nayo hata kiduka cha mangi
 
Ondoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.
Mashine ya laki mbili na nusu wapi ebu toa Mwongozo uwasaidie wengi
 
Ivi duka likivunjwa usiku ukaibiwa maana unaweza wadai wakakulipa vitu vyako
 
Mauzo ya 1,150,000 Unashindwa kununua mashine mkuu tena usawa huu nakushauri kopa hata kukopa mashine nimhimu sana hata kwako itakusaidia kutunza kumbukumbu
Hiyo 1,150,000 nimauzo ukija kutoa na expenditure zote nagarama za zingine zote nisawa nahakuna kitu kabisa,
 
Back
Top Bottom