KIBURUDISHO
JF-Expert Member
- Mar 28, 2011
- 1,002
- 277
Mbona kuna meneja wa Tra wilaya fulani namfahamu ana biashara yake fulani lakini yeye hana mashine ya EFD au ndo mkuki kwa Nguruwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja.nitakuangalizia contactsZinakouzwa 250,000 ni wapi?
Wadau wameikubali bei wanataka kujiweka sawa kuepuka mivutano na tra.
Ubarikiwe in advance.Ngoja.nitakuangalizia contacts
Ukipiga kwa mwaka unapata ml. 13800000/-lakini ukweli ni kuwa huwezi kuwa kwenye biashara siku zote 365 za mwaka. Kodi niliyokadiriwa ni 318000/-kwa mwaka, mpaka sasa nadaiwa 79500/-awamu ya mwisho tar. 31 Dc.ww ulipata mauzo yako yanafikia kiasi gani kwa mwaka?, au kodi unalipa kiasi gani kwa mwaka or kila installment ili tukusaidie kisheria zaidi
umedanganywa nanani?? mashine kwa dar nikuanzia 750,000 nakuendelea nawajua mawakala wote wanauza hizo mashine. Mim yangu nilinunua mwez july mwaka huuOndoa shaka.kanunue.ni laki mbili na nusu.alafu kawaonyeshe risiti.watakufungulia.
Ukipata mashine.
KAJIFUNZE JINSI YA KUITUMIA KWA WAFANYA BIASHARA WA KARIAKOO.
Unafanya biashara gani na biashsra yako ipo eneo gani?? Tunanzie hapo kwanza kabla ya kulaumu na kulalamikaKifupi ni kuwa,nina biashara yangu yenye mtaji usiozidi milioni tatu (3000000/-)mwaka wa kodi nilikadiriwa kodi ya serikali ambayo nalipa awamu nne kwa mwaka.mpaka sasa nimeshalipa awamu 3 imebakia awamu moja ya tar.31 Dec. Kodi nyingine ambazo nimeshalipa mpaka sasa ni :kodi ya chumba cha biashara, leseni ya biashara, TFDA, ushuru wa uzoaji taka kila mwezi, kodi ya nyumba ninayoishi pango la miezi 6.sasa wamefika maofisa wa TRA wiki iliyopita na kusema wanakagua mashine za efd, niliwaambia sina uwezo kuinunua lakini waliniambia kosa kwa mujbu WA sheria. Nilijaribu kujieleza lakini hawakunielewa. Mwisho wakafunga biashara yangu na kunitaka niwe nayo ndani ya siku 7.kwa hakika nimeumia ndo maana nawauliza ndugu zangu hii iko sawa au ni uonevu you! CC:waziri wa fedha Dr Mpango
USIBISHE KITU USICHOKIJUA.wewe sio mungu.nikikuletea hyo kampuni utatoa nini??umedanganywa nanani?? mashine kwa dar nikuanzia 750,000 nakuendelea nawajua mawakala wote wanauza hizo mashine. Mim yangu nilinunua mwez july mwaka huu
Labda una njia nyingine. ila mwenyewe nlitafuta saana cheaper than that nkakosa, nkapelekwa kariakoo ambazo nlishauriwa nisichkue zitasumbua mbele ya safari. Cheapest ni 750k.USIBISHE KITU USICHOKIJUA.wewe sio mungu.nikikuletea hyo kampuni utatoa nini??
Mkoani ndo mkoa gani?? Duka la rejareja ndo duka la bidhaa gani?? Nakuuuliza nikusaidie na nikushauri vyema unabakia kuficha ficha ila malalamiko yako umeweka wazi.Biashara ipo mkoani, ni duka larejaereja
yaani .nataka nami nijue inapatikana wapi
Machine laki mbili mkuu??efd??
Bank teller huyo asiwasumbue akili.EFD machine laki mbili na nusu imekuwa Tecno boom hiyo!!!zinapatikana wapi kwa laki mbili na nusu??
Labda sijaeleweka tu mkuu, nipo iringa, duka la rejareja ni vitu mix, yaani kuna vyakula, vinywaji baridi na kali, viungo vya chakula, sabuni mafuta, na mahitaji yote ya nyumbani madogomadogo. Ila ni mjini kabisaMkoani ndo mkoa gani?? Duka la rejareja ndo duka la bidhaa gani?? Nakuuuliza nikusaidie na nikushauri vyema unabakia kuficha ficha ila malalamiko yako umeweka wazi.
Ngoja nikusaidie tu kwa kifupi na uelewe kwann nimekuuliza maswali hayo.
Kama mtaji wako hajafikia kiwango ama threshold ya kutumia EFD mashine sheria baada ya kuboreshwa inawataka watu wanaofanya biashara maeneo ya mijini ambayo ni potential areas na ambayo pia hupangwa kutegemea na kodi zinazotozwa eneo hilo lakn pia biashara zote za huduma ni lazima kutumia EFD mashine.
Nimekuuliza.nikikitajia hyo kampuni utanipa nini??Hio kampuni uitoe wapi?? sio dagaa zile nikampuuni 11 tu ndo zilizo namamlaka yakusambaza mashine ya efd. Mashine ya Efd aina ya DATES DP5 ndio mashine cheap kabsa lakin hata huko sofia bulgaria ilikotengenezwa haiuzwi kwa 250k
Nikikutajia hyo kampuni utanipa nini??Labda una njia nyingine. ila mwenyewe nlitafuta saana cheaper than that nkakosa, nkapelekwa kariakoo ambazo nlishauriwa nisichkue zitasumbua mbele ya safari. Cheapest ni 750k.