sijajua ukubwa wa tatizo lako, kwa nini siku zote umekua kimya leo ukaamua kuvunja ukimya, je? tatizo limezidisha makali?
kuna mambo tunaita PMS pre menstrual syndrom, kuna baazi ya kina mama dada ambao kabla au wakati wa siku zao wanapata na vipele downstairs, vipele vyenyewe vinakua na patern flan, kuzunguka labias, vinaweza ambatana na mwasho,, zikitokea day ambazo sio za flow maswali ni mengine kama alivotangulia kukushauri mtu wa kwanza, dalili ambatano, vipi? discharge, na kama ipo how much? does it smell? au vile umehusianisha na matumizi ya sodo, si ajabu kuna watu wako sensitive na material zenye zinatengeneza hizo sodo!ni sort ya allergic reaction flan lakini kwa sababu ni watu wachache saana wako na allergi za aina hii lazima uroule out mambo mengine yot, hakuna pia uchafu mweupe unatoka? maana fungus especially siku ya hedhi ni kawaida coz hormonal changes during those days zinakuweka prone kwa fungus.
kama maelezo fulan yanaendana na tatizo lako, let me knw for help? la mwone mhudumu wa afya kwa maelezo zaidi be gud