Jamani hili nalo ni tatizo?

Jamani hili nalo ni tatizo?

Pretty R.

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2012
Posts
200
Reaction score
31
Mwanamke kuwashwa sehemu za siri kwa nje je ni ugonjwa? Na hizi pads tunazotumia zinaweza kuwa zinachangia? Maana mimi binafsi huwa natumia always lakini zinaniwasha sana sijui wasichana wenzangu kama wanapata tatizo kama langu. Kwa wanaofahamu tu wanisaidie, kama hujui sio vibaya ukapita bila kucomment.
 
Pole, tatizo hilo linakupata wakati wa siku zako au wakati wote? Kuna discharge au harufu yoyote? Unapoenda Ulishawahi kupata matibabu yoyote huko nyuma? Kwa kuanzia unaweza kubadili Brand ya hizo pads uone itakuwaje. Usafi ni muhimu,keep dry. Vinginevyo muone daktari.
 
Nawashwa wakati wa hedhi na baada, sijawahi kwenda hospitali ndo maana nikawa naomba ushauri nijue kama ni tatizo niwahi hospitali. Asante ndugu yangu I usually trying to keep my self dry ila bado tatizo liko palepale.
 
Nashauri jaribu kutumia pads za tofauti, subiri watakuja wengine pia. Thanks
 
Thanx Ngule na Elli kwa ushauri wenu nitaufanyia kazi.
 
tumia HC uone kama zitaendelea kukuwashwa nenda kwa hospital..
 
sijajua ukubwa wa tatizo lako, kwa nini siku zote umekua kimya leo ukaamua kuvunja ukimya, je? tatizo limezidisha makali?
kuna mambo tunaita PMS pre menstrual syndrom, kuna baazi ya kina mama dada ambao kabla au wakati wa siku zao wanapata na vipele downstairs, vipele vyenyewe vinakua na patern flan, kuzunguka labias, vinaweza ambatana na mwasho,, zikitokea day ambazo sio za flow maswali ni mengine kama alivotangulia kukushauri mtu wa kwanza, dalili ambatano, vipi? discharge, na kama ipo how much? does it smell? au vile umehusianisha na matumizi ya sodo, si ajabu kuna watu wako sensitive na material zenye zinatengeneza hizo sodo!ni sort ya allergic reaction flan lakini kwa sababu ni watu wachache saana wako na allergi za aina hii lazima uroule out mambo mengine yot, hakuna pia uchafu mweupe unatoka? maana fungus especially siku ya hedhi ni kawaida coz hormonal changes during those days zinakuweka prone kwa fungus.
kama maelezo fulan yanaendana na tatizo lako, let me knw for help? la mwone mhudumu wa afya kwa maelezo zaidi be gud
 
Mimi pia ninatatizo kama hilo, kila nikimaliza period hua ninawashwa sana ninakua kama mtoto mdogo alieunguzwa na mikojo kwa kukaa na nepi muda mrefu, nimejaribu kubadilisha pads lakini haikunisaidia,

kwa sasa kila nikimaliza period ninaanza kupaka dawa inayoitwa AMOLG ni cream hua inanisaidia.Pole ninajua linavyokukera.
 
nimesoma ka website fulani yeye ana suggest hv'To prevent and treat vaginal
itching:
Avoid colored or perfumed toilet
tissue and bubble bath.
Avoid feminine hygiene sprays
and douches.
Change out of wet clothing,
especially wet bathing suits or
exercise clothing, as soon as
possible.
Cleanse the area by wiping or
washing from front to back
(vagina to anus) after urinating
or having a bowel movement.
Eat yogurt with live cultures or
take Lactobacillus acidophilus
tablets when using antibiotics.
Check with your doctor.
Keep your genital area clean and
dry. Use plain, unscented soap.
Keep your blood sugar under
good control if you have
diabetes.
Lose weight if you are
overweight.
Wear cotton panties or
pantyhose with a cotton crotch.
Avoid panties made from
synthetic materials. For infants
and toddlers, change diapers
often.
If you are sure that you have a
yeast infection, try over-the-
counter creams or vaginal
suppositories. See: Vaginal yeast
infection.hope itakuwa useful kwako na pole sana.get wel soon
 
Asante sn ngoja nijaribu kutumia hiyo AMOLOG. Maana nakereka sana.
 
Yes it is much useful na ushauri wako umenifaa sana, Mungu akubariki sana ndugu yangu dicksten.
 
sijajua ukubwa wa tatizo lako, kwa nini siku zote umekua kimya leo ukaamua kuvunja ukimya, je? tatizo limezidisha makali?
kuna mambo tunaita PMS pre menstrual syndrom, kuna baazi ya kina mama dada ambao kabla au wakati wa siku zao wanapata na vipele downstairs, vipele vyenyewe vinakua na patern flan, kuzunguka labias, vinaweza ambatana na mwasho,, zikitokea day ambazo sio za flow maswali ni mengine kama alivotangulia kukushauri mtu wa kwanza, dalili ambatano, vipi? discharge, na kama ipo how much? does it smell? au vile umehusianisha na matumizi ya sodo, si ajabu kuna watu wako sensitive na material zenye zinatengeneza hizo sodo!ni sort ya allergic reaction flan lakini kwa sababu ni watu wachache saana wako na allergi za aina hii lazima uroule out mambo mengine yot, hakuna pia uchafu mweupe unatoka? maana fungus especially siku ya hedhi ni kawaida coz hormonal changes during those days zinakuweka prone kwa fungus.
kama maelezo fulan yanaendana na tatizo lako, let me knw for help? la mwone mhudumu wa afya kwa maelezo zaidi be gud
asante sana smallvile.
 
Back
Top Bottom