ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Vidonda vya tumbo hivyo a.k a ulcers.Karibu ugonjwani.[emoji24]Leo nimeenda kumtembelea bi mkubwa ambaye ni wa asili ya kihindi akaniandalia mlo!Kama mnavyojua wenzetu hao chumvi yao ni pilipili!Mara tu baada ya kula huo msosi mara mwili wote ukachemka nikahisi joto vilivyo!Ajabu tumbo likajaa gesi mno halafu nikaanza kuhisi maumivu makali mno tumboni mithili ya mtu mwenye kidonda halafu kidonda hicho kikamwagiwa maji ya moto!Mwenye kulijua hilo anisaidie maana 'ninapata shida sana'
Leo nimeenda kumtembelea bi mkubwa ambaye ni wa asili ya kihindi akaniandalia mlo!Kama mnavyojua wenzetu hao chumvi yao ni pilipili!Mara tu baada ya kula huo msosi mara mwili wote ukachemka nikahisi joto vilivyo!Ajabu tumbo likajaa gesi mno halafu nikaanza kuhisi maumivu makali mno tumboni mithili ya mtu mwenye kidonda halafu kidonda hicho kikamwagiwa maji ya moto!Mwenye kulijua hilo anisaidie maana 'ninapata shida sana'
Mungu wangu hivi inaweza kuwa tatizo hiloooooo🙂🙂Vidonda vya tumbo hivyo a.k a ulcers.Karibu ugonjwani.[emoji24]
Asante kwa ushauriIsije kuwa una ulcers mkuu.
Hebu kacheki kwa Dokta kama zimo uziwahi mapema
Ndugu yangu ilikuwa haina jinsi!Sasa Chakula kina pilipili kibao na wewe haujazoea yanini ufakamie?
Asante kwa ushuri,ila alikuwa amenikaribisha!!Jitahidi uache Uroho / Umelo Mkuu.