ufumawicha
JF-Expert Member
- Mar 16, 2014
- 504
- 209
Leo nimeenda kumtembelea bi mkubwa ambaye ni wa asili ya kihindi akaniandalia mlo!Kama mnavyojua wenzetu hao chumvi yao ni pilipili!Mara tu baada ya kula huo msosi mara mwili wote ukachemka nikahisi joto vilivyo!Ajabu tumbo likajaa gesi mno halafu nikaanza kuhisi maumivu makali mno tumboni mithili ya mtu mwenye kidonda halafu kidonda hicho kikamwagiwa maji ya moto!Mwenye kulijua hilo anisaidie maana 'ninapata shida sana'