Jamani hili ni tatizo nawai kumwaga

Jamani hili ni tatizo nawai kumwaga

young_mesult

Senior Member
Joined
Oct 11, 2012
Posts
133
Reaction score
35
Ndugu zangu wapendwa.. Mie mwenzenu nikianza kumuandaa mpenzi wangu naishiwa nguvu haraka then inakua taabu kuanza mapenzi maana inabidi nisubili mpk isimame tena..NAOMBA MSAADA WENU WENZANGU am serious
 
Ungeiweka hii mada kwenye lile jukwaa la chini kabisa ningechangia ila hapa unatutafutia BAN au thread ifungwe bure! Embu do the needful
 
Ndugu zangu wapendwa.. Mie mwenzenu nikianza kumuandaa mpenzi wangu naishiwa nguvu haraka then inakua taabu kuanza mapenzi maana inabidi nisubili mpk isimame tena..NAOMBA MSAADA WENU WENZANGU am serious

Pendelea kunywa supu ya kongoro na ndizi mbili kila siku asubuhi. After two weeks utaanza kuona mabadiliko.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Ndugu zangu wapendwa.. Mie mwenzenu nikianza kumuandaa mpenzi wangu naishiwa nguvu haraka then inakua taabu kuanza mapenzi maana inabidi nisubili mpk isimame tena..NAOMBA MSAADA WENU WENZANGU am serious

...sio tatizo ila kwakuwa umeamua kulifanya tatizo, tatizika nalo kwanza mpaka utapokubali si tatizo kiviile...
 
Nimekwambia la chini kabisa(18+ forum) ndo ningeweza kukusaidia ila hapa itakua majanga matupu

nawe si umwambie!
Mara la chini kabisa, sijui nini...maneno mengii!

La Chini kabisa nini?
 
nawai kumwaga tena namwaga bila kujijua

Jitahidi kujiamini, kibailojia hakuna neno kumwaga bila kujijua.
Jaribu kujiuliza, mbona mkojo wa kawaida huwa hauwezi kujikojolea hata kama ukiona choo??
Misuli inayosukuma mkojo na manii ni ile ile, unachotakiwa kufanya wakati wa tendo la ndoa utulize akili yako...fikra zako zisiwe kwenye ngono.
Pia fanya zoezi linaitwa "Kegel exercise"...google kupata maelezo zaidi hapa natumia simu siwezi kuandika mambo mengi.
 
asante mkubwa..
 
Back
Top Bottom