young_mesult
Senior Member
- Oct 11, 2012
- 133
- 35
ndio usubiri sasa, kwani kusubiri kuna shida gani?
Ungeiweka hii mada kwenye lile jukwaa la chini kabisa ningechangia ila hapa unatutafutia BAN au thread ifungwe bure! Embu do the needful
Ndugu zangu wapendwa.. Mie mwenzenu nikianza kumuandaa mpenzi wangu naishiwa nguvu haraka then inakua taabu kuanza mapenzi maana inabidi nisubili mpk isimame tena..NAOMBA MSAADA WENU WENZANGU am serious
wapi hapo?

...sio tatizo ila kwakuwa umeamua kulifanya tatizo, tatizika nalo kwanza mpaka utapokubali si tatizo kiviile...
wapi hapo?
Nimekwambia la chini kabisa(18+ forum) ndo ningeweza kukusaidia ila hapa itakua majanga matupu
Nimekwambia la chini kabisa(18+ forum) ndo ningeweza kukusaidia ila hapa itakua majanga matupu
mbona silioni?
Maelezo yako na heading ni matatizo mawili tofauti...
Fafanua lipi haswa ni tatizo lako?
nawai kumwaga tena namwaga bila kujijua
nawai kumwaga tena namwaga bila kujijua
Pole mkuu!
Vipi umewahi kujichua(punyeto)?
Jitahidi kujiamini, kibailojia hakuna neno kumwaga bila kujijua.
Jaribu kujiuliza, mbona mkojo wa kawaida huwa hauwezi kujikojolea hata kama ukiona choo??
Misuli inayosukuma mkojo na manii ni ile ile, unachotakiwa kufanya wakati wa tendo la ndoa utulize akili yako...fikra zako zisiwe kwenye ngono.
Pia fanya zoezi linaitwa "Kegel exercise"...google kupata maelezo zaidi hapa natumia simu siwezi kuandika mambo mengi.