Jamani hili ni tatizo?

Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?
Hapana mkuu hilo sio tatizo!!Huwa inatokezea sana ukiwa hujakutana kimwili na mwanamke muda mrefu,hupati ndoto za usiku au sio mfanyaji wa punyeto!manii zinajaa nyingi hivyo ukijisaidia tu haja ndogo au kubwa nazo zinatoka!!
 
Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?
jinsia yako mkuu mambo mengine huja kwa aina fulani ya jinsia
 
Sawa mkuu nakushukuru kwa jibu lako zuri maana sijawahi kufanya mapenzi
hii huwa inatokea pale unapokuwa hujafanya mapenzi siku nyingi unapojisaidia kabla mkojo haujatoka zinatoka mani kidogo kisha mkojo,!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…