bidam90
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 273
- 202
Hapana mkuu hilo sio tatizo!!Huwa inatokezea sana ukiwa hujakutana kimwili na mwanamke muda mrefu,hupati ndoto za usiku au sio mfanyaji wa punyeto!manii zinajaa nyingi hivyo ukijisaidia tu haja ndogo au kubwa nazo zinatoka!!Habari zenu wataalamu, mimi ni kijana wa miaka 26 hivi karibuni nashangaa nikienda kujisaidia haja kubwa natokwa na manii, je hili ni tatizo?