Jamani hivi hii ni kweli?


kuna watu vichwa vyao vina madudu
 
Hao marafiki zako wamepotea...na cha zaidi wanataka na wewe upotee....cha msingi focus on your coming wife na make out your own decisions.
 
Una washauri wabaya. Jiepushe nao vinginevyo utaangamia
 
Kwa ukweli, huo ni ushauri mzuri. Mi niliuapply na tangu nioe ni mauaminifu kwa kwenda mbele.

Kawamege mkuu, tena usitumie kondom ili upate uzoefu kamili
 
kama ndio ushauri ulipewa huo utapotea! Hayo ni maovu tupu hakuna jema hapo unaloweza kuliita ni maandalizi ya ndoa.
 
Hii haija kaa vema maana dunia ya leo manbo yameharibika. Magonjwa ni mengi ukiwemo UKIMWI.

TKE CARE USIPOTOSHWE!!!
 
Kaka nakupongeza sana kwa hekima na busara zako.
Mianamume mijinga ndio inarukia kila shimo, inaingia hadi kwa mashoga.
Na wenye tabia za kuwaingia mashoga mtakoma siku wakija kuwaingilieni nyie..
 
Mkuu AKILI Kuambiwa Changanya na AKILI YAKO mwenyewe, halafu amua kipi kizuri na kipi kibaya, usi copy na ku paste kila kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…