jamani hivi hiki kinaweza kutokea?

jamani hivi hiki kinaweza kutokea?

love peace

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
130
Reaction score
37
.natumain mumeamka salama,..... Nna rafiki yangu ameolewa na anamtoto mmoja mdogo.Tatzo alilonalo,yeye na mumewake wanatumia condom kama njia kujikinga.lakini bahati mbaya wamejikuta wamefanya mapenzi bila condom.na zilibaki siku mbili aingie bleed. Je?anaweza kupata mimba coz anaogopa kutoa mimba na kiukweli mtoto wao ni mdogo sana...pia kama hatopata ataingia bleed kawaida au itabadilika?..
 
mbegu zina kaa siku tatu zikisubiri kurutubishwa sasa kina chofuata hapo nn?
 
Back
Top Bottom