Jamani hivi mwalimu mweye degree

Jamani hivi mwalimu mweye degree

MUCCoBS Ni tawi la SUA wewe pimbi so unapozungumzia MUCCoBS maana yake unazungumzia SUA so SUA na UDOM kipi chuo cha kata? UDOM ni chuo cha kata

Ha ha ha Dogo alikua anamajibu mabaya!leo uzi wake ule umemkamata
CC
lusungo
Excel
 
Last edited by a moderator:
Wewe ndio ndezi kweli tanzania nzima kuna one ngapi? unadhani kila mwenye one anasoma UDSM? ,ila nashukuru kwa ushauri wako mkuu senator a.k.a muasisi wa ligi za vyuo jf!
Kumbe@Senator ndo muanzilishi wa ligi za vyuo?????
lusungo
Excel
 
Last edited by a moderator:
Mshahara wake ni shing ngapi???
walimu wa tamisemi wote gross570000 wakikata unapata 46oooo hivi,ila walimu wanaofundisha kibaha boys,kibaha girls na tumbi wanalipwa vizuri sana mweny degree gross milion 1 na laki 2 ,diploma 64oooo hiz shule hazipo chin ya wizara ya elimu,zipo chini ya mashirika ya umma chini ya ofis ya waziri mkuu.na wanajiri kupitia sekretarieti ya ajira kwa interview,jamaa wanalipwa vzr na kupata chance lazima uwe vzr kidogo,ahsanteni
 
Mi hata sijui siku moja hv numepita huku ndo nikakumbana na huu utoto lol

Kumbe walikutana huko,wakazinguana dogo mpigamsuri akakomaa mwisho akawa mbishi na jeuri,sema akawa achagui wa kumpalamia...nashukuru ajawai nivunjia eshima,nakumbuka ni miongoni ya watu tulimkalibisha JF mpigamsuri wakati huo anasubiri majibu ya form six
 
nenda kaangalie matokeo ya C.P.A!
Hahahah wewe ndio mzembe wa kwanza nimesoma special schools(mzumbe na taboraboys) nimepiga one form4 na advance laiti ungekuwa unanijua physically usingeandika takataka zako humu jamvini! wewe ni dhaifu sana kifikra,kiuelewa na kiakili! !

cc. Excel kwa ajili ya kutuwekea picha ya Le professeri huyu.
 
Last edited by a moderator:
Kumbe walikutana huko,wakazinguana dogo mpigamsuri akakomaa mwisho akawa mbishi na jeuri,sema akawa achagui wa kumpalamia...nashukuru ajawai nivunjia eshima,nakumbuka ni miongoni ya watu tulimkalibisha JF mpigamsuri wakati huo anasubiri majibu ya form six

Ha ha ha

Dogo kapoa sana hana hamu na jf......

Ila hawa kuwatambua ni rahisi mno ndo maana akina Perry .. holygrail na Darius niliwafunza adabu mapema maana ukicheki michango yao unagundua kabisa ni watoto...

Wampe break sasa...
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha haaaa

Mkuu inatosha jamani kashajifunzaaa

Mkuu hebu tulia kwanza kijana apewe za uso, kama anataka kuzima huu moto inabidi ajitokeze aombe radhi, vinginevyo leo ni siku yake ya kuanikwa.
 
Mkuu hebu tulia kwanza kijana apewe za uso, kama anataka kuzima huu moto inabidi ajitokeze aombe radhi, vinginevyo leo ni siku yake ya kuanikwa.

Ha ha ha

Inatosha banaaaaa

Nimemwendea PM dogo kasawajika sana...

Mpeni break lol
 
nenda kaangalie matokeo ya C.P.A!
Hahahah wewe ndio mzembe wa kwanza nimesoma special schools(mzumbe na taboraboys) nimepiga one form4 na advance laiti ungekuwa unanijua physically usingeandika takataka zako humu jamvini! wewe ni dhaifu sana kifikra,kiuelewa na kiakili! !

Una tatizo la kisaikolojia mkuu kutokana na ama kwa kukulia kwenye familia zisizo na elimu na ukasoma wewe peke yako ama umetajirika ghafla kwa pesa za ufisadi /wizi kiasi kwamba unajiona/unawaona wengine kama loosers kwa kukosa akili!Usipotibiwa unaweza ukawa mwehu kabisa halafu watu waanze kusema akili zilizidi!

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Mimi Asiponiomba Msamaha Physically Nimemuahidi Disco Pale Muccobs,anajua Nishamwambia,siku Moja Ataleta Lawama Humu,
 
walimu wa tamisemi wote gross570000 wakikata unapata 46oooo hivi,ila walimu wanaofundisha kibaha boys,kibaha girls na tumbi wanalipwa vizuri sana mweny degree gross milion 1 na laki 2 ,diploma 64oooo hiz shule hazipo chin ya wizara ya elimu,zipo chini ya mashirika ya umma chini ya ofis ya waziri mkuu.na wanajiri kupitia sekretarieti ya ajira kwa interview,jamaa wanalipwa vzr na kupata chance lazima uwe vzr kidogo,ahsanteni

hv wewe unajua ulichoandika hapo?? hebu kabla hujaandika uwe unafikiria na kuuliza ili upate majibu sahihi alafu unamjua kiongozi mkuu wa TAMISEMI?? Mbona unachanganya changanya mambo kama co great thinker?
 
Back
Top Bottom