Jamani hivi mwalimu mweye degree

Mimi Asiponiomba Msamaha Physically Nimemuahidi Disco Pale Muccobs,anajua Nishamwambia,siku Moja Ataleta Lawama Humu,

Mkuu zile ni challenges za jf

so sio vema kutimiza hio ahadi yako.
 

mpiga msuli mbona huwa unajitapa sana? Unapesa sana, una IQ kubwa sana, unajua kila kitu au upumbavu unakusumbua? Unajadili vyuo kutwa kila mara kuponda vyuo vingine kwa kuwa unachosoma alikijenga baba yako au? Acha ulimbukeni wewe, muda si mwingi utashusha heshima yako na utaonekana mtu wa ovyo ovyo. Sijawahi kuandika thread kama hii ila leo nimeona nikuambie acha ushamba wewe. Thread inauliza nini na wewe umeandika nini?
 
Ha ha ha

Dogo kapoa sana hana hamu na jf......

Ila hawa kuwatambua ni rahisi mno ndo maana akina Perry .. holygrail na Darius niliwafunza adabu mapema maana ukicheki michango yao unagundua kabisa ni watoto...

Wampe break sasa...

hii maana yake nini sasa..! vyuo vya private wanapewa challenges ili ufanisi wao uongezekee nyie mnateteaa sasa kwa dizaini hii tutafika kweli?

nasubiri majibu....!!

team kurekebishaa JUKwaa
 
Last edited by a moderator:

Mkuu bila shaka ulipitwa kushoto na mkanasha wa jana.
 
hii maana yake nini sasa..! vyuo vya private wanapewa challenges ili ufanisi wao uongezekee nyie mnateteaa sasa kwa dizaini hii tutafika kweli?

nasubiri majibu....!!

team kurekebishaa JUKwaa

Majibu muombe mpigamsuli
 
Last edited by a moderator:
Mkuu kwa mbaaali naona vijana wanasawazika na kujirudi tartiiiib !, hahaaaa !

Ha ha ha ha

Chezea #team rekebisha tabia wewe...

Jana heshima imerudi hata tuliowatia kifungoni wakitoka watatia adabu...
 
Nawewe ukiendelea tutaweka kile kibanda chenu mnachoishi na matokeo yako yote ndo mtaacha utoto we endelea watu wazame kwenye IP address

mkuu unajiona upo perfect asilimia 100 ..!
by the way hata kama naishi kwenye kibanda wewe inakuuma nini!!

ngoja tukae kimya ubaki na jamii forum yako...!!
 
inategemea na taasisi na shule anayofundisha, mwl. st....., colleges mishahara yao ni tofauti na mwl. wa shule ya serikali.
 
Unabishana na mpiga msuli! Huyojamaa sizani kama cognition yake iko sawa, hupenda kuji sifu kama makabila fulani ambayo wao kutwa kujisifu ili hali walimu wa msingi na mahakimu wa mwanzo. Mpiga msuli anasumbuliwa na ushamba, chuo hakinafaida yoyote, kunavyuo vilitamba kwa umaarufu lakini vimesha kufa na kubaki jina. Kwani Matonya wa sasa na wa 2007 ni sawa? Au amefirisika ki mziki na Diamond wa juzi juzi yuko juu kwa sasa. Tambua wewe umekwenda kusoma hukwenda kusifia chuo, pia ajira hawaangalii wewe umesoma wapi bali unanini kichwani? Ajira za ualimu wanaajiriwa wote, wawe wa SUA,MZUMBE,UDOM,UDSM n.k wote wanaajiriwa
 

mkuu nikikuita nabii cdhani kama nitakuwa nimekosea maana ndicho kilichokuja kumtokea huyu jamaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…