Jamani hivi na nyie mnaona kuwa Vodacom ni mtandao gharama sana au ni njaa zangu mwenyewe?

Jamani hivi na nyie mnaona kuwa Vodacom ni mtandao gharama sana au ni njaa zangu mwenyewe?

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Kwa kweli hawa jamaa in just short time unapata meseji ya "umetumia 75% ya bundle lako."

Tsh 2500 au Tsh 3000 ndio options za bundle za wiki jumuishi ya data na dakika.

Tsh 3000 unapata gb 1.4 kwa wiki ya internet.

Vipi mitandao mingine au gharama ni kama hizi hizi?
 
Back
Top Bottom