Watu mnaotumia halote sijui huwa nawaonaje yani..kama watu flani hivi mlilojikatia tamaa ya maishaKuna huyo halotel sasa gb unapewa za kutosha ila network ukatafute mwenyewe.
Kwa hiyo ndiyo tulipofikia huku.Watu mnaotumia halote sijui huwa nawaonaje yani..kama watu flani hivi mlilojikatia tamaa ya maisha
Tumia post paid unazurura utakavo uko mtandaon bila mtu kukufatiloa sijui GB zimeishaNet yao iko fasta sana ila ni WEZI
Zingatia neno WEZI
KweliiTumia post paid unazurura utakavo uko mtandaon bila mtu kukufatiloa sijui GB zimeisha
115kKwelii
Monthly the cheapest ni how much?