Jamani hivi na nyie mnaona kuwa Vodacom ni mtandao gharama sana au ni njaa zangu mwenyewe?

Ningekuwa na uwezo,ningeuza hii smartphone nibaki na simu ndogo.
Ila siwezi.kukaa bila smart phone.nikipiga hesabu za 3,000 kila siku unaweza kufika laki kwa mwezi.
 
Hawa bundle linaliwa sana
 
Vodacom wana huduma bora lakin expensive. Kitu bora kinakuja na gharama
 
Voda ni gharama lakini huduma ni Bora sio kama airtel au TIGO mtandao wanataka
Tigo ndio wezi balaa bundle la wiki ukijiunga 1GB ni 2100 ila kuingia instagram na youtube ni mwiko. Ukijiachia tu youtube dakika 15 nyingi majibu lazma upate.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…