M mtunyeni Member Joined Jan 26, 2013 Posts 26 Reaction score 0 Aug 2, 2013 #1 Kunatetesi kwamba mwisho wa kuomba mkopo ilikua ni tarehe 31-7 jamani naomba ukweli juu ya hili kwani nahitaji kuomba mkopo!.
Kunatetesi kwamba mwisho wa kuomba mkopo ilikua ni tarehe 31-7 jamani naomba ukweli juu ya hili kwani nahitaji kuomba mkopo!.
irumba1 JF-Expert Member Joined May 10, 2013 Posts 882 Reaction score 321 Aug 2, 2013 #2 sio tetesi ndivyo ilivyo ndugu yangu ulikuwa wapi?
O oil sumu JF-Expert Member Joined Jun 26, 2013 Posts 787 Reaction score 47 Aug 2, 2013 #3 ulikuwa wapi wakat wametoa kama miezi miwil frm 1 may up to 31/7