Jamani hivi ni kweli loan board wameshafunga application?

Jamani hivi ni kweli loan board wameshafunga application?

mtunyeni

Member
Joined
Jan 26, 2013
Posts
26
Reaction score
0
Kunatetesi kwamba mwisho wa kuomba mkopo ilikua ni tarehe 31-7 jamani naomba ukweli juu ya hili kwani nahitaji kuomba mkopo!.
 
sio tetesi ndivyo ilivyo ndugu yangu ulikuwa wapi?
 
ulikuwa wapi wakat wametoa kama miezi miwil frm 1 may up to 31/7
 
Back
Top Bottom