Morning_star
JF-Expert Member
- Apr 21, 2018
- 6,042
- 17,320
Sio kweli! Hao jamaa choka mbaya!Wewe unaevaa shati jeupe na Tai mwisho wa mwezi unapokea laaki nane na makato juu humfikii uyo anaingiza 40000 Kila sku isiyo na makato
Tuseme Kila kichwa anapewa buku 2, unataka useme kwa siku anakosa vichwa 20?Sio kweli! Hao jamaa choka mbaya!
Tuseme Kila kichwa anapewa buku 2, unataka useme kwa siku anakosa vichwa 20?
Apate pesa yoyote ila asisumbue na kuwafanyia ghasia watuWewe unaevaa shati jeupe na Tai mwisho wa mwezi unapokea laaki nane na makato juu humfikii uyo anaingiza 40000 Kila sku isiyo na makato
Kazi zao hazipaswi kuwa bugha na karaha kwa wengine, unaanzaje kumvutavuta na kumuuliza anaenda wapi mtu usiyemjua?!Wenzako wapo kazini wewe unaleta usistaduu wako
Ajira za hovyo zisizo na tija katika taifa ni pamoja na hizo.Kazi ya akili ni kama hii yako ya kushangaa ajira za wenzio.
Hahah mwenyew nqfanyaga hiviWala usipate shida. Wakikusogelea tu waambie unaenda moro na una ticket ya Abood watakupotezea haraka sana. Abood hatoi posho.