Jamani hizi charges za mtandao wa voda vipi?

Jamani hizi charges za mtandao wa voda vipi?

Mtu_Mzima

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2014
Posts
1,164
Reaction score
1,134
Salam wana JF
Nimekuwa nikiugulia maumivu ya makato ya mtandao wa voda ambayo yanepanda kimya kimya na sijui kama ni kwa bsraka za tume ya maeasiliano au tunalipia zile faini walizotozwa.
Mfano
KUTOA.
KIASI GHARAMA
400,000 ..7,000
250,000 ..5,300
800,000 ..8,000
600,000 ..8,000
1,000,000 ..8,000

KUTUMA
120,000 ..1,000
510,000 ..2,200
650,000 ..3,300
20,000 ...365

Jamani hebu nipeni uzoefu wa mitandao mingine ili nijue hatua za kuchukua.
 
Back
Top Bottom