best njoo nikufinye sikio
Hebu ninong'oneze best ninani huyo hakupi usingizi.
best njoo nikufinye sikio
Inawezekana ni mimi, binti anataka kuwa mke wangu wa nne.
BADILI TABIA, cacico na Kongosho hebu kujeni pande hii. Faivusamu inanukia huku.
There are currently 5 users browsing this thread. (3 members and 2 guests)
Kwanini hufunguki mpaka mwisho amu wakati unafahamu fika hamu niliyonayo! We sema tu, hapa tupo na Babu tu na hana madhara kabisa!
Kama siyo mimi, waweza nifanyia mpango. Hata mie naweweseka kwa huyu mchuchu.
NB. Kumkuwadia babu kunakufutia dhambi zako mpaka August 8, 2014.