Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

amu

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2012
Posts
16,132
Reaction score
31,149
Last edited by a moderator:
Hebu ninong'oneze best ninani huyo hakupi usingizi.
 
Kwamba uliotutaja ndo tupo kwenye list ama hatupo!????:glasses-nerdy::mwaaah::glasses-nerdy:
 
Kwamba uliotutaja ndo tupo kwenye list ama hatupo!????:glasses-nerdy::mwaaah::glasses-nerdy:

ndo hivo mentor fanya probability though inaweza kuwa null proba
 
Hahahahahahahahah kupata bwana si kazi kazi kuipata ndoa na kuilinda, Hata ukiipata ndoa kumbuka kuachika si kazi kubwa, kujilinda usiachike ndo kazi hasa, Tafuta jeshi wala haitachukua siku moja mbona huyo mtu ataachika tu 😛opcorn::coffee:
amu.
 
Kama siyo mimi, waweza nifanyia mpango. Hata mie naweweseka kwa huyu mchuchu.

NB. Kumkuwadia babu kunakufutia dhambi zako mpaka August 8, 2014.

mh! We babu wewe, ama kweli ng'ombe hazeeki maini
 
Bora my super darling huwa hatoi comments za mahaba....am safe!!!
 
Back
Top Bottom