Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Kaka samaki wa kuchemsha, toke na samli mchezo mixed with maharagwe, senene na kwahawa plus kumbi kumbi akili lazima ikubali...bila kusahau RUBISI loh

Ayaaa! Unanikumbusha enzi nikiwa naitwa KING MSWATI orijino!
 
Back
Top Bottom