Ayaaa! Unanikumbusha enzi nikiwa naitwa KING MSWATI orijino!
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!

Huwa naishia ku :faint:ni nani huyo bestito unayemzimikia nikusaidie namna ya kukufunda ili uwe na wako usimzimikie tena wa mwenzio best?
maana humu mjengoni ukimzimikia wa mwenzako unatafuta balaa bure bora ujiachie kivyako vyako au utafute aisiye na kaposi humu nakusihi usifanye hivyo utabamizwa ohooo! :frusty::frusty:
pole jamani! copy: my wife Heaven on Earth njoo huku nikubembeleze jamani, si unajua nimekumis mumito wangu! eti Heaven on Earth si unanipenda eti jamni mpenzi wangu! niambie basi nisikie plz!
Heaven on Earth sijui kaishia kwa heaven on desert...Kwani @figaniga keshampa talaka Heaven on Earth
Huwa naishia ku :faint:
Kwani @figaniga keshampa talaka Heaven on Earth
amu hio avatar yako na wewe ...... ngoja kwanza!ngoja kwanza
mimi nilishampaga talaka siku nyingi sana, ndo figaniga akamuopoa, hii comment nilitoaga kipindi hicho mapenzi yetu yapo motomoto, hata sina kumbukumbu tena ni lini nilimwacha ..... ila nakumbuka ilikuwa kwenye mfungo wa kiislamu! sasa hvi nipo single nakula vya kuotea teh teh teh teh! Mpe hi kiwatengu!
hahahahahahaha mie mtu nipo .......... nipo siasani mara nyingi zaidi kuliko huku ...... si unajua tunaandaa mikakati mizito kukabiliana na masalia ndani ya chama cha ukombozi ....... ....... tunapishana sana huko na mr president mtarajiwa (@arushaone)!we mtu upo?? nimekukumbuka sana aisee.