Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

nipe mbinu maana nimeshindwa au nimpe mlungula Baba V awatenganishe,mi umia sana ujue
nimefurahi umecheka bibie umezidi kuwa mrembo
 
Last edited by a moderator:
Bora my super darling huwa hatoi comments za mahaba....am safe!!!

Muda wote nlijua amu anakuzungumzia wewe, sasa kama si wewe, hii si itakuwa mali yangu halali mpwa?

Kijana Mentor njoo hapa utoe mwongozo
 
Last edited by a moderator:
Bora my super darling huwa hatoi comments za mahaba....am safe!!!


unaweza ukawa ni wewe ujue
unanikondeshaaaaa mwenzio
 
nipe mbinu maana nimeshindwa au nimpe mlungula Baba V awatenganishe,mi umia sana ujue

nimefurahi umecheka bibie umezidi kuwa mrembo

We team unayo unashindwa kuitumia? angalia kushoto kwako utakayemuona mtumie kukwapua huyu bwana anayekunyima usingizi....fanya hima
 
babu unatamani eeee halafu mie damu moto wa moto balaaa nitakutegua kiuno
Muda wote nlijua amu anakuzungumzia wewe, sasa kama si wewe, hii si itakuwa mali yangu halali mpwa?

Kijana Mentor njoo hapa utoe mwongozo
 
Last edited by a moderator:
hivi babu unampenda mjukuu wako eeeeee
Ushafanya mpango au unaleta longolongo mingi hapa? Binti amu msikilize kwa makini na ukubali anachokuambia YNNAH. Kama unampenda YNNAH, utamlinda.
usinisababishie wakezo waje kunidunda
 
Last edited by a moderator:
tedo we angalia tu hivi upo kwenye saccoss ya dada haikuhusu btn ukimkuta wa mwisho kukoment ndo huyohuyo
Ngoja niangalie tuu..
 
Last edited by a moderator:
ndo hivo mentor fanya probability though inaweza kuwa null proba

Sasa hapo hujajibu swali we binti....kama kati ya uliowamention hayupomo huyo mtu nijiondoe kabisaa...:sick:
 
Sina haja ya kuuliza...... Nimeshamjua huyo anaye kukondesha mwili na roho!!!!!!!
 
Kwanini unapata shda mtoto mzuri kama wewe?
Nipo kwa ajil yako amu,njoo kwangu nawe utakula mema ya nch.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…